Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Wapalestina waandamana kupinga marufuku ya adhana Quds tukufu

    Wapalestina waandamana kupinga marufuku ya adhana Quds tukufu

    Mar 12, 2017 03:52

    Maelfu ya wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu wamefanya maandamano kulaani sheria iliyopasishwa hivi karibuni na Bunge la Israel ya kupiga marufuku adhana katika mji mtakatifu wa Quds.

  • Wamisri waandamana nchi nzima dhidi ya serikali kulalamikia kuwekwa mgao wa mikate

    Wamisri waandamana nchi nzima dhidi ya serikali kulalamikia kuwekwa mgao wa mikate

    Mar 09, 2017 04:22

    Raia wa Misri wamefanya maandamano dhidi ya serikali katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, kulalamikia hatua ya kuwekwa mgao katika upatikanaji wa mikate nchini humo.

  • Wafuasi na wapinzani wa Trump watwangana makonde nchini Marekani

    Wafuasi na wapinzani wa Trump watwangana makonde nchini Marekani

    Mar 05, 2017 04:09

    Habari kutoka nchini Marekani zinasema kuwa kumezuka mapigano baina ya wafuasi na wapinzani wa Donald Trump katika mji wa Berkeley wa jimbo la California, magharibi mwa nchi hiyo.

  • Wananchi wa Yemen waandamana tena dhidi ya Saudia

    Wananchi wa Yemen waandamana tena dhidi ya Saudia

    Mar 04, 2017 04:03

    Makumi ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamejitokeza mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani uvamizi na hujuma za kijeshi za utawala wa Saudi Arabia.

  • Maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wahajiri yafanyika Uhispania

    Maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wahajiri yafanyika Uhispania

    Feb 19, 2017 04:10

    Katika hali ambayo Rais Donald Trump wa Marekani anatazamiwa wiki ijayo kutangaza 'sheria kali zaidi' za kudhibiti wahajiri na raia wa nchi saba za Kiislamu, mamia ya maelfu ya wananchi wamefanya maandamano Uhispania kuonyesha uungaji mkono wao kwa wajahiri.

  • Maelfu ya Wapakistani waandamana kulaani jinai za Marekani na makundi ya kigaidi

    Maelfu ya Wapakistani waandamana kulaani jinai za Marekani na makundi ya kigaidi

    Feb 18, 2017 12:43

    Maelfu ya Wapakistani wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia jinai za Marekani na makundi ya kigaidi ya Jamaat al-Ahrar, Daesh, Lashgar Jahangui na Sepah Sahabah, ambayo yamekuwa yakihusika na mauaji ndani ya taifa hilo.

  • Maelfu ya wananchi waandamana Mexico dhidi ya Trump

    Maelfu ya wananchi waandamana Mexico dhidi ya Trump

    Feb 15, 2017 04:37

    Maelfu ya wananchi wa Mexico wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mexico City wakitaka kuheshimiwa nchi yao na wahajiri wa nchi hiyo. Maandamano hayo yamefanyika kufuatia matamshi ya chuki na uhasama ya Rais Donald Trump wa Marekani na serikali yake dhidi ya wahajiri na Wamexico.

  • Mamilioni washiriki maandamano ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa Iran

    Mamilioni washiriki maandamano ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa Iran

    Feb 10, 2017 04:48

    Mamilioni ya wananchi wa matabaka mbali mbali wa Iran wanashiriki maandamano ya amani katika kila pembe ya nchi, kuadhimisha sherehe za miaka 38 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchi hapa.

  • Maandamano dhidi ya ubaguzi wa Trump yapamba moto US

    Maandamano dhidi ya ubaguzi wa Trump yapamba moto US

    Feb 01, 2017 04:19

    Maelfu ya watu pasina kujali dini na rangi zao wameshadidisha maandamano katika kona mbali mbali za Marekani, kulaani sheria tata ya ubaguzi iliyopasishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo hivi karibuni.

  • Morocco kujua iwapo itarejea AU, wananchi waandamana dhidi ya serikali

    Morocco kujua iwapo itarejea AU, wananchi waandamana dhidi ya serikali

    Jan 30, 2017 04:17

    Katika hali ambayo Morocco inasubiri kujua iwapo ombi lake la kutaka kurejea katika Umoja wa Afrika litapata uungaji mkono au la katika mkutano wa AU huko Addis Ababa, wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu wamefanya maandamano wakilalamikia ufisadi wa serikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS