Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Wamarekani waandamana kupinga dikrii iliyozusha makelele ya ujenzi wa mabomba ya mafuta

    Wamarekani waandamana kupinga dikrii iliyozusha makelele ya ujenzi wa mabomba ya mafuta

    Jan 25, 2017 11:49

    Wananchi wa Marekani wameandama kupinga agizo la Rais Donald Trump wa nchi hiyo la kutaka kuendelezwa ujenzi wa mabomba ya mafuta uliozusha upinzani na mvutano.

  • 11 wauawa Nigeria kwa kushiriki maandamano ya kumuunga mkono Trump

    11 wauawa Nigeria kwa kushiriki maandamano ya kumuunga mkono Trump

    Jan 21, 2017 04:33

    Wanachama 11 wa harakati ya Biafra nchini Nigeria wanaripotiwa kuuawa na maafisa usalama katika maandamano yaliyofanyika kusini mashariki mwa nchi.

  • Benjamin Netanyahu azidi kuandamwa

    Benjamin Netanyahu azidi kuandamwa

    Jan 15, 2017 03:47

    Mamia ya wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kulaani ufisadi wa kifedha wa viongozi wa utawala huo hususan Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel, mjini Tel Aviv.

  • Waafghani waandamana dhidi ya Pakistan kwa kuhusika katika miripuko

    Waafghani waandamana dhidi ya Pakistan kwa kuhusika katika miripuko

    Jan 14, 2017 12:29

    Mamia ya raia wa Afghanistan wamefanya maandamano mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo wakiilaumu Pakistan kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao.

  • Watunisia waandamana kuunga mkono mapinduzi

    Watunisia waandamana kuunga mkono mapinduzi

    Jan 14, 2017 09:23

    Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano leo katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kuadhimisha mwaka wa 6 tangu wafanye mapinduzi yaliyoindoa madarakani serikali ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Zainul Abidin bin Ali.

  • Wapalestina waandamana kulaani ujenzi wa vitongoji wa Israel

    Wapalestina waandamana kulaani ujenzi wa vitongoji wa Israel

    Jan 14, 2017 00:27

    Wananchi wa Palestina walifanya maandamano Ijumaa ya jana kulalamikia siasa za utawala wa Kizayuni za kubomoa nyumba zao katika ardhi zilizoporwa na utawala huo mwaka 1948.

  • Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Isa Qassim

    Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Isa Qassim

    Jan 06, 2017 04:44

    Maelfu ya wananchi wa Bahrain wameandamana kote katika ufalme huo kwa siku ya pili mfululizo wakipinga kukandamizwa mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim.

  • Wapinzani wapambana na polisi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Wapinzani wapambana na polisi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Dec 29, 2016 11:22

    Maandamano ya nchi nzima huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yamewalazimisha polisi kuingilia kati kukabiliana nayo.

  • Wamarekani waandamana dhidi ya msimamo wa Trump kuhusu silaha za nyuklia

    Wamarekani waandamana dhidi ya msimamo wa Trump kuhusu silaha za nyuklia

    Dec 27, 2016 11:13

    Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika mji wa New York wakikosoa wito uliotolewa hivi karibuni na Rais mteule wa nchi hiyo, Donald Trump wa kutaka kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa nchi hiyo.

  • Polisi Kongo yawatia mbaroni makumi ya raia

    Polisi Kongo yawatia mbaroni makumi ya raia

    Dec 23, 2016 04:12

    Polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewatia mbaroni makundi ya raia kwa kosa la kushiriki maandamano dhidi ya serikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS