-
Rais wa Guinea-Bissau atishia kuufukuza ujumbe wa ECOWAS
Mar 03, 2025 07:07Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametishia kuufukuza ujumbe wa kisiasa uliotumwa nchini mwake na Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
-
Uanachama wa Nchi za Afrika katika ECO: Fursa ya kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi
Feb 28, 2025 15:37Kuongeza ushirikiano na kupanua mahusiano katika nyanja mbalimbali za uchumi ni miongoni mwa malengo makuu ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO).
-
IOM yaomba ufadhili wa dola milioni 81 kwa ajili ya Afrika Mashariki
Feb 12, 2025 09:22Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) na washirika 45 wa masuala ya kibinadamu na kimaendeleo wameiomba jamii ya kimataifa msaada wa dola milioni 81 kwa ajili ya kuokoa maisha kwa zaidi ya wahamiaji milioni moja wakiwemo wanawake na watoto na jumuiya zinazowahifadhi katika nchi za Djibouti, Ethiopia, Somalia, Tanzania, Kenya na Yemen.
-
Niger, Mali na Burkina Faso zajiondoa rasmi ECOWAS
Jan 30, 2025 01:55Serikali za kijeshi za Niger, Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
-
ECOWAS: Muungano wa Sahel ni changamoto kubwa
Jul 07, 2024 11:09Mkutano wa kilele wa viongozi wa Afrika Magharibi umefunguliwa leo Jumapili huku kukiwa na mizozo ya kisiasa, baada ya tawala za kijeshi katika nchi za Niger, Mali na Burkina Faso kuunda shirikisho baina yao.
-
Kujiondoa Mali, Niger na Burkina Faso kwenye Jumuia ya ECOWAS
Jan 30, 2024 07:22Nchi tatu za Niger, Burkina Faso na Mali zimetangaza kujiondoa kwenye Jumuia ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika ECOWAS kutokana na kutokuwa na imani na siasa na sera za jumuia hiyo.
-
ECOWAS yatambua rasmi Baraza la Kijeshi la Niger
Dec 11, 2023 11:55Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imelitambua rasmi kwa njia isiyo ya moja kwa moja Baraza la Kijeshi linalotawala Niger.
-
Rais Raisi: Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika teknolojia mpya
Mar 07, 2023 11:22Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika elimu na teknolojia mpya ili kurahisisha ushiriki wa sekta binafsi katika uhusiano wa pande mbili.
-
Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)
Jan 09, 2023 10:50Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).
-
ECOWAS yaikosoa Mali kwa kurefusha kipindi cha mpito
Jun 08, 2022 10:47Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) imeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Mali ya kurefusha kipindi cha mpito kwa miezi 24.