Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mahakama

  • Mahakama ya India yabariki Wahindu wajenge hekalu lao eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri

    Mahakama ya India yabariki Wahindu wajenge hekalu lao eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri

    Nov 09, 2019 12:09

    Katika hukumu ya uonevu na upendeleo wa wazi iliyotolewa kwa manufaa ya Wahindu wenye misimamo ya chuki na kufurutu mpaka, Mahakama ya Juu Kabisa ya India imeamua kuwapatia Wahindu eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri ili wajenge hekalu lao la Ram.

  • Bangladesh yashikilia hukumu ya kifo dhidi ya Azharul Islam

    Bangladesh yashikilia hukumu ya kifo dhidi ya Azharul Islam

    Oct 31, 2019 21:44

    Mahakama ya Juu ya Bangladesh imeidhinisha hukumu ya kifo iliyotolewa mwaka 2014 dhidi ya kinara wa chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami, A T M Azharul Islam, kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita.

  • Mahakama yamuachia huru kinara wa upinzani Cameroon kufuatia agizo la rais

    Mahakama yamuachia huru kinara wa upinzani Cameroon kufuatia agizo la rais

    Oct 05, 2019 23:19

    Mahakama ya Kijeshi ya Cameroon imemuachia huru kiongozi wa upinzani nchini humo Maurice Kamto, kufuatia agizo lililotolewa na Rais Paul Biya.

  • Al Bashir akiri kupokea dola milioni 25 kutoka kwa mritihi wa ufalme wa Saudia

    Al Bashir akiri kupokea dola milioni 25 kutoka kwa mritihi wa ufalme wa Saudia

    Aug 31, 2019 10:32

    Rais wa zamani wa Sudan, Omar al Bashir amekiri mahakamani kuwa alipokea mamilioni ya dola kinyume cha sheria kutoka kwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman.

  • Walibya wamfungulia Khalifa Haftar mashitaka ya jinai za kivita

    Walibya wamfungulia Khalifa Haftar mashitaka ya jinai za kivita

    Jun 28, 2019 10:58

    Raia wa Libya wanaoishi Marekani wamemfungulia mashitaka ya jinai za kivita kamanda muasi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, Jenerali Khalifa Haftar wakisisitiza kuwa wapiganaji wa kamanda huyo wameua jamaa zao katika mashambulizi ya hivi karibuni ya mabomu katika mji mkuu Tripoli.

  • Dada yake Bin Salman kufikishwa katika mahakama ya jinai Ufaransa

    Dada yake Bin Salman kufikishwa katika mahakama ya jinai Ufaransa

    Jun 13, 2019 21:56

    Dada yake Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Julai katika mahakama ya jinai nchini Ufaransa, akiandamwa na shitaka la kumuagiza mlinzi wake kumpiga mfanyakazi wa kiume mjini Paris.

  • Upinzani Malawi kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani

    Upinzani Malawi kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani

    May 31, 2019 23:23

    Kinara wa chama kikuu cha upinzani cha Malawi Congress (MCP) amesema atawasilisha faili mahakamani kupinga 'wizi wa kura' katika uchaguzi wa rais uliofanyika nchini humo hivi karibuni.

  • Wananchi wa Malawi kusubiri zaidi kujua matokeo ya uchaguzi wa rais

    Wananchi wa Malawi kusubiri zaidi kujua matokeo ya uchaguzi wa rais

    May 27, 2019 02:46

    Mahakama nchini Malawi imeiamuru Tume ya Uchaguzi nchini humo kutotangaza matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni, kufuatia malalamiko ya wizi wa kura yaliyotolewa na upinzani.

  • Mahakama ya Kenya yaamuru wahajiri 22 wa Eritrea warudishwe kwao

    Mahakama ya Kenya yaamuru wahajiri 22 wa Eritrea warudishwe kwao

    May 25, 2019 03:46

    Mahakama nchini Kenya imeagiza raia 22 wa Eritrea waliokamatwa siku 10 zilizopita na kushtakiwa kwa kuwa nchini humo kinyume cha sheria warejeshwe nchini kwao.

  • Moise Katumbi kurejea DRC baada ya kufutiwa mashitaka

    Moise Katumbi kurejea DRC baada ya kufutiwa mashitaka

    May 07, 2019 02:11

    Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye kwa sasa yuko uhamishoni nchini Ubelgiji, anatazamiwa kurejea nyumbani katika kipindi cha wiki mbili zijazo, baada ya Waendesha Mashitaka wa Serikali kufuta uchunguzi wa shitaka la jinai dhidi yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS