-
Mchuano mkali katika uchaguzi mkuu nchini Malawi
May 21, 2019 09:02Wananchi wa Malawi leo wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu ambapo rais Peter Mutharika anakabiliwa na ushindani mkali.
-
Rais wa Malawi anakabiliwa na uchaguzi mgumu; kuchuana na aliyekuwa makamu wake
May 17, 2019 08:27Rais Peter Mutharika wa Malawi anakabiliwa na mtihani mgumu katika uchaguzi wa wiki ijayo ambao utawakutanisha pamoja wagombea kadhaa akiwemo aliyekuwa makamu wake ambaye kwa wakati mmoja alikuwa muitifaki wake ; na sasa amegeuka na kuwa mpinzani.
-
UNICEF: Watoto milioni 1.5 wanahitaji msaada kusini mwa Afrika kufuatia Kimbunga Idai
Apr 15, 2019 03:18Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, limetoa ombi la dola milioni 1.6 kusaidia watoto takribani milioni 1.5 ambao wameathiriwa vibaya na Kimbunga Idai katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo ni Msumbiji, Malawi na Zimbabwe.
-
Waliofariki dunia katika Kimbunga Idai wafika 746, maelfu wapoteza makazi
Mar 30, 2019 11:30Mamia ya maelfu ya watu wanahitaji misaada ya dharura ya chakula, maji na makazi baada ya Kimbunga Idai kusababisha uharibifu mkubwa Msumbiji, Zimbabwe na Malawi.
-
Mafuriko yaendelea kuua katika nchi za kusini mwa Afrika
Mar 14, 2019 21:48Makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Malawi.
-
Walioaga dunia kwa mafuriko Malawi wafika 28 huku maelfu wakiwa katika hali mbaya
Mar 10, 2019 23:08Idadi ya watu walioaga dunia baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko kusini mwa Malawi imefikia 28 huku idadi ya raia walioathiriwa na maafa hayo ya kimaumbile ikiripotiwa kuongezeka maradufu.
-
Wapinzani Malawi wamtaka Rais Mutharika ajiuzulu kutokana na madai ya ufisadi
Jul 02, 2018 09:21Chama kikuu cha upinzani nchini Malawi leo kimemtaka Rais Peter Mutharika wa nchi hiyo ajiuzulu kufuatia madai kuwa alipokea fedha haramu katika mkataba wa serikali wa dola milioni nne.
-
Maalibino kuwania katika Uchaguzi Malawi mwaka 2019
Jun 28, 2018 23:14Maalbino sita wameazimia kuwania viti katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka ujao nchini Malawi. Wagombea wote sita ni wanachama wa Chama cha wenye ulemavu wa ngozi, Albino, (APAM).
-
Kipindupindu chaua watu tisa Malawi
Feb 20, 2018 11:49Mripuko wa kipindupindu Malawi umeua watu tisa huku watu wengine 541 wakiambukizwa ugonjwa huo kitaifa.
-
Rais wa Malawi awataka wananchi kuombea mvua
Jan 20, 2018 01:09Rais Peter Mutharika wa Malawi amewataka viongozi wa serikali kuliongoza taifa hilo katika maombi maalumu ya kuomba mvua, katika hali ambayo nchi hiyo inakabiliwa na ukame na uhaba wa chakula.