Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mapigano

  • Kushadidi mgogoro wa Sudan Kusini baada ya kusimamishwa shughuli za mashirika ya kimataifa

    Kushadidi mgogoro wa Sudan Kusini baada ya kusimamishwa shughuli za mashirika ya kimataifa

    Feb 01, 2017 07:23

    Sambamba na kuendelea mgogoro wa Sudan Kusini na kuongezeka machafuko katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, shughuli za jumuiya na mashirika ya kimataifa zimesitishwa na kuifanya hali ya wananchi kuwa mbaya zaidi.

  • Mapigano mapya yaibuka eneo la Malakal, Sudan Kusini

    Mapigano mapya yaibuka eneo la Malakal, Sudan Kusini

    Feb 01, 2017 04:12

    Umoja wa Mataifa umesema mapigano mapya yameibuka katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Malakal huko Sudan Kusini.

  • Polisi mmoja auawa kaskazini mashariki mwa Kenya

    Polisi mmoja auawa kaskazini mashariki mwa Kenya

    Jan 23, 2017 11:38

    Jeshi la polisi nchini Kenya limetangaza habari ya kuuawa afisa mmoja wa polisi wakati wanamgambo wanaosadikiwa ni wa kundi la kigaidi la al Shabab walipotega mabomu katika benki moja na mikahawa miwli huko Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.

  • Makumi wauawa Kongo DR katika mapigano ya kikabila na jeshi

    Makumi wauawa Kongo DR katika mapigano ya kikabila na jeshi

    Jan 08, 2017 04:20

    Ofisi inayoshughulikia masuala ya kibinaadamu ya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika mapigano makali yaliyojiri katikati mwa nchi hiyo.

  • Wanajeshi wa DRC wakabiliana na waasi mashariki mwa nchi

    Wanajeshi wa DRC wakabiliana na waasi mashariki mwa nchi

    Jan 04, 2017 12:52

    Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameendelea kupambana na waasi wa Mai Mai, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wapinzani wapambana na polisi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Wapinzani wapambana na polisi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Dec 29, 2016 11:22

    Maandamano ya nchi nzima huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yamewalazimisha polisi kuingilia kati kukabiliana nayo.

  • Waasi: Tumeua na kuteka wanajeshi wa serikali DRC

    Waasi: Tumeua na kuteka wanajeshi wa serikali DRC

    Dec 10, 2016 10:27

    Mwanajeshi mmoja wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameuawa katika mapigano na waasi wanaojulikana kwa jina la kikosi cha wamapambano wa mkoa wa Ituri FRPI huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kubwa ya katikati mwa Afrika. Waasi hao wanadai wameua na kuteka wanajeshi kadhaa.

  • Watu 31 wauawa katika mapigano mapya Kongo DR

    Watu 31 wauawa katika mapigano mapya Kongo DR

    Dec 06, 2016 12:12

    Makumi ya watu wameuawa katika mapigano kati ya kundi la waasi na maafisa usalama kati kati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Indhari ya UN juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Indhari ya UN juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Dec 02, 2016 13:01

    Kutokana na kuendelea mapigano nchini Sudan Kusini kuna hatari ya kutokea mauaji ya kimbari nchini humo.

  • Watu wanane wauawa katika mapigano nchini Libya

    Watu wanane wauawa katika mapigano nchini Libya

    Dec 02, 2016 04:11

    Kwa akali watu wanane wameripotiwa kuuawa katika mapigano mapya yaliyotokea katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS