-
UN yalaani machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati
Nov 29, 2016 03:35Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR)
-
Watu 55 wauawa katika mapigano magharibi mwa Uganda
Nov 28, 2016 00:55Idadi ya watu waliouawa katika mapigano yaliyozuka katika eneo moja magharibi mwa Uganda kati ya vikosi vya usalama na kundi moja lenye silaha inaripotiwa kufikia 55.
-
Polisi: Watu 14 wameuawa katika mapigano magharibi mwa Uganda
Nov 27, 2016 04:02Polisi ya Uganda imetangaza kuwa, watu wasiopungua 14 wameuawa magharibi mwa nchi hiyo, katika mapigano kati ya polisi na watu wenye silaha.
-
Watu 15 wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini
Nov 18, 2016 04:08Kwa akali watu 15 wameuawa katika makabiliano mapya kati ya jeshi la serikali na waasi, katika kijiji cha Adaab el Bahr, Jimbo la Unity, nchini Sudan Kusini karibu na mpaka wa pamoja na Sudan.
-
Makumi wauawa katika mapigano mjini Galkayo, Somalia
Nov 08, 2016 03:52Watu karibu 30 wameuawa na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyozuka kati ya vikosi vya majimbo mawili hasimu yenye mamlaka ya ndani nchini Somalia.
-
38 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano Niger
Nov 02, 2016 11:00Watu 18 wameuawa na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa katika mapigano makali kati ya wakulima na wafugaji nchini Niger.
-
11 wauawa, 14 watoweka katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 06, 2016 10:53Habari kutoka Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati zinaarifu kuwa, watu zaidi ya 11 wameuawa huku wengine 14 wakitoweka kufuatia mapigano makali yaliyojiri baada ya kuuawa mwanajeshi wa nchi hiyo ya kati kati mwa Afrika.
-
Mapigano kati ya pande zilizosaini makubaliano ya amani Mali
Sep 18, 2016 02:27Watu 10 wameuawa katika mapigano kati ya pande zilizosaini makubaliano ya amani huko Mali.
-
Dak: Machar ametoroka Sudan Kusini kwa kuandamwa na maafisa usalama
Aug 18, 2016 09:25Msemaji wa kiongozi wa upinzani nchini Sudan Kusini amesema Riek Machar ameikimbia nchi hiyo kutokana na kuandamwa na maafisa usalama wa serikali, ambao wamekuwa wakimsaka kwa udi na uvumba tangu aukimbie mji mkuu Juba zaidi ya mwezi mmoja uliopita.
-
Watu kadhaa wauawa katika machafuko mapya CAR
Jul 25, 2016 03:38Kwa akali watu watatu wameuawa katika wimbi jipya la mashambulizi ya makundi ya waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.