Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?

    Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?

    Dec 20, 2025 02:23

    Katika hatua yake ya hivi karibuni dhidi ya serikali ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza serikali hiyo kuwa ni ya kigaidi na ameamuru kuzuiwa meli zote za mafuta zinazoingia au kutoka nchini humo.

  • Katika kuitajirisha sekta ya silaha ya US, Qatar nayo yaomba kuuziwa ndege za F-35

    Katika kuitajirisha sekta ya silaha ya US, Qatar nayo yaomba kuuziwa ndege za F-35

    Dec 19, 2025 03:25

    Vyombo vya habari vya Israel vimetangaza kuwa, Qatar imefanya mazungumzo na Marekani kuhusu kununua nchi hiyo ya Kiarabu ndege za kisasa za kivita za Marekani aina ya F-35.

  • Waziri Mkuu wa Uhispania: Kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Waziri Mkuu wa Uhispania: Kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Dec 15, 2025 02:18

    Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani itambue kwamba katu hatutaweka chini silaha zetu

    Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani itambue kwamba katu hatutaweka chini silaha zetu

    Dec 14, 2025 02:08

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, serikali ina wajibu wa kufanya juhudi za kuzatiti mamlaka ya kujitawala na uhuru wa Lebanon, na Muqawamwa kwa upande wake umeisaidia kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano.

  • Putin atangaza kumuunga mkono Maduro licha ya US kushadidisha vitisho dhidi ya Venezuela

    Putin atangaza kumuunga mkono Maduro licha ya US kushadidisha vitisho dhidi ya Venezuela

    Dec 12, 2025 10:11

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, anamuunga mkono Rais wa Venezuela Nicolas Maduro wakati huu ambapo Marekani imejizatiti kijeshi katika eneo la Carribean huku ikishadidisha vitisho dhidi ya Venezuela.

  • Ripoti: US inaishinikiza Israel iuondoe mlima wa kifusi uliozagaa Ghaza baada ya miaka 2 ya vita

    Ripoti: US inaishinikiza Israel iuondoe mlima wa kifusi uliozagaa Ghaza baada ya miaka 2 ya vita

    Dec 12, 2025 10:10

    Marekani imeitaka Israel ibebe jukumu la kuondoa vifusi vikubwa vilivyotapakaa kwenye kila pembe ya Ukanda wa Ghaza baada ya zaidi ya miaka miwili ya vita vya kinyama na mauaji ya kimbari iliyofanya dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo, pamoja na uharibifu mkubwa uliosababishwa na mashambulizi yake ya anga na matingatinga ya kivita. Hayo yameelezwa na toleo la Alkhamisi la gazeti la kizayuni la Yedioth Ahronoth.

  • Mtazamo wa Iran kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela: Uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia

    Mtazamo wa Iran kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela: Uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia

    Dec 11, 2025 08:45

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amevitaja vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela kuwa ni uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia.

  • Araghchi: Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na ya kuheshimiana

    Araghchi: Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na ya kuheshimiana

    Dec 08, 2025 06:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, Tehran imefikia hitimisho kwamba Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na yanayofanyika kwa msingi wa kuheshimiana.

  • Je, ziara ya Putin nchini India inamaanisha kwamba New Delhi imepuuza vitisho vya Trump?

    Je, ziara ya Putin nchini India inamaanisha kwamba New Delhi imepuuza vitisho vya Trump?

    Dec 07, 2025 02:24

    Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya ziara nchini India kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.

  • Hamas: Mwisho wa Abu Shabab ndio hatima isiyoepukika ya kila msaliti

    Hamas: Mwisho wa Abu Shabab ndio hatima isiyoepukika ya kila msaliti

    Dec 05, 2025 10:50

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kwamba mauaji ya mshirika wa Israel na kiongozi wa genge lenye uhusiano na Daesh, Yasser Abu Shabab, ni hatima isiyoepukika ya kila mtu anayechagua kulisaliti taifa na nchi yake na kushirikiana na utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS