-
Zarif: Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu
Jul 20, 2019 03:05Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu na pia kutokana na tabia yake ya kuendelea kuiwekea mashinikizo Tehran.
-
IRGC: Hivi karibuni tutaonyesha picha za meli ya Marekani zilizochukuliwa na ndege zetu ili kufichua uongo wa Trump
Jul 19, 2019 10:10Ofisi Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) imetoa radiamali kufuatia madai ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyesema kuwa meli ya kivita ya nchi hiyo imetungua ndege isiyo na rubani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marekani yaiwekea vikwazo harakati ya Hashd al Shaabi ya Iraq
Jul 19, 2019 01:54Naibu Rais wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo imeamua kuwawekea vikwazo makamanda wanne waandamizi wa harakati ya wananchi ya Hashd al Shaabi ya Iraq.
-
Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki
Jul 19, 2019 01:50Hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka kwa Russia imezusha mgogoro mkubwa katika uhusiano wake na Marekani hasa kwa kuzingatia kuwa kabla ya hapo pia Ankara na Washington zilikuwa tayari zina mzozo baina yao.
-
Hamas yataka kususiwa sarafu dola ya Marekani
Jul 18, 2019 22:03Musa Abu Marzouq mjumbe wa ngazi ya juu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa wito wa kususiwa sarafu ya dola ya Marekani.
-
Uturuki: Uamuzi wa Marekani unakinzana na moyo wa umoja na ushirikiano
Jul 18, 2019 08:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametoa radiamali kuhusiana na uamuzi wa Marekani wa kuiondoa serikali ya Ankara kwenye mpango wa kununua ndege za kivita za F 35 na kusema kuwa, uamuzi huo wa Washington unakinzana na moyo wa umoja na ushirikiano baina yao.
-
Bunge la Marekani lazuia mauzo ya silaha kwa Saudia, Trump kutumia veto
Jul 18, 2019 06:55Bunge la Wawakilishi la Marekani limepiga kura kuunga mkono maazimio ya kupinga mauzo ya silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola kwa Saudi Arabia.
-
Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani; Iran haitasalimu amri
Jul 18, 2019 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, sera za vikwazo za serikali ya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran ni ugaidi; na akasisitiza kwamba: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.
-
Dakta Javad Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi
Jul 18, 2019 02:48Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sera za Marekani za kuliwekea vikwazo taifa la Iran ni ugaidi na kwamba, Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.
-
Njama za Imarati na Marekani za kuibambikizia kesi Ikhwanul Muslimin zafichuliwa
Jul 17, 2019 08:27Naibu Mkuu wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri amefichua kile kilichojadiliwa katika mazungumzo yake na maafisa kadhaa wa nchi za nje katika jela muda mfupi baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Julai 2013 nchini Misri.