Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • White House yakiri, Obama ameshindwa kufunga gereza la Guantanamo

    White House yakiri, Obama ameshindwa kufunga gereza la Guantanamo

    Jan 18, 2017 23:26

    Ikulu ya Marekani White House imekiri kuwa Rais Barack Obama wa nchi hiyo ameshindwa kufunga gereza la kutisha la Guantanamo mwishoni mwa muhula wake huu wa pili kama alivyoahidi.

  • Zarif: Iran inapinga ushiriki wa Marekani katika mazungumzo ya Astana kuhusu Syria

    Zarif: Iran inapinga ushiriki wa Marekani katika mazungumzo ya Astana kuhusu Syria

    Jan 18, 2017 03:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kuwa, Tehran inapinga ushiriki wa Marekani katika mazungumzo ya stana, mji mkuu wa Kazakhstan kuhusiana na Syria.

  • Araqchi: Marekani na baadhi ya nchi zimekuwa zikikwamisha utekelezwaji wa JCPOA

    Araqchi: Marekani na baadhi ya nchi zimekuwa zikikwamisha utekelezwaji wa JCPOA

    Jan 15, 2017 11:02

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Tehran imekuwa ikikabiliwa na ukiukwaji wa ahadi, kigugumizi, siasa za ucheleweshaji mambo na chuki za Marekani na baadhi ya nchi katika utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Azikiwe: Kuondolewa Sudan vikwazo na US ni malipo kwa kushirikiana na Saudia

    Azikiwe: Kuondolewa Sudan vikwazo na US ni malipo kwa kushirikiana na Saudia

    Jan 14, 2017 23:10

    Abayomi Azikiwe, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mwandishi wa habari wa kiafrika amesema kuwa, uamuzi wa serikali ya Marekani wa kuiondolea Sudan baadhi ya vikwazo ilivyokuwa imeiwekea ni malipo ya Khartoum baada ya kubadili msimamo wake kuhusu nchi za Magharibi na kuimarisha uhusiano wake na Saudi Arabia.

  • Human Rights Watch yataka kusitishwa uuzaji silaha kwa Saudi Arabia

    Human Rights Watch yataka kusitishwa uuzaji silaha kwa Saudi Arabia

    Jan 14, 2017 23:07

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti likitaka kusimamishwa haraka iwezekanavyo uuzaji silaha kwa Saudi Arabia. Ripoti hiyo imebainisha kuwa utawala wa Saudia chini ya muungano wa kijeshi unaoungwa mkono na Marekani na Uingereza mwezi Machi mwaka juzi ulianzisha mashambulizi ya kijeshi huko Yemen na kuzishambulia kinyume cha sheria, nyumba, masoko, shule, viwanda na misikiti nchini humo.

  • Obama arefusha hali ya hatari kuhusu Iran

    Obama arefusha hali ya hatari kuhusu Iran

    Jan 14, 2017 04:11

    Rais anayeondoka wa Marekani Barak Obama ametia saini sheria ya kuendelezwa sheria ya kitaifa ya hali ya hatari dhidi ya Iran.

  • HRW: Donald Trump ni tishio kwa haki za binadamu

    HRW: Donald Trump ni tishio kwa haki za binadamu

    Jan 13, 2017 04:40

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuchaguliwa Donald Trump kuwa Rais wa Marekani ni tishio lisilo na mfano kwa haki za binadamu.

  • Abbas amwandikia barua Trump akimuonya juu ya ubalozi wa Israel

    Abbas amwandikia barua Trump akimuonya juu ya ubalozi wa Israel

    Jan 10, 2017 04:43

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemwandikia barua Rais mteule wa Marekani Donald Trump na kumuonya juu ya taathira hasi za pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu.

  • Ukatili wa kutisha wa polisi wa Marekani dhidi ya mwanafunzi wa Kenya

    Ukatili wa kutisha wa polisi wa Marekani dhidi ya mwanafunzi wa Kenya

    Jan 08, 2017 04:47

    Kitendo cha ukatili kukiwemo kupigwa vikali na kutusiwa matusi machafu na polisi wa Marekani dhidi ya mwanafunzi mmoja mwenye uraia wa Kenya, kimemlazimu hakimu wa mahakama ya federali kutaka kuchunguzwa kitendo hicho.

  • Kuhamishiwa Quds ubalozi wa US, mstari mwekundu kwa Palestina

    Kuhamishiwa Quds ubalozi wa US, mstari mwekundu kwa Palestina

    Jan 07, 2017 03:42

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemuonya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS