Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Russia: Madai kuwa Putin aliingilia uchaguzi wa Marekani ni 'dhihaka'

    Russia: Madai kuwa Putin aliingilia uchaguzi wa Marekani ni 'dhihaka'

    Dec 16, 2016 04:46

    Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema madai yanayoenezwa na vyombo vya habari kuwa Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo aliingilia uchaguzi wa Marekani ni 'dhihaka' na madai ya upuuzi.

  • Mchanganuzi: US, UK na Israel zimezitelekeza Sudan mbili baada ya kuzitenganisha

    Mchanganuzi: US, UK na Israel zimezitelekeza Sudan mbili baada ya kuzitenganisha

    Dec 15, 2016 10:43

    Katika hali ambayo Sudan Kusini inatimiza miaka mitatu ya mapigano, machafuko na uhasama, wachanganuzi wa mambo wanasema kuwa, Marekani, Uingereza na Israel zimeitelekeza nchi hiyo na jirani yake Sudan, licha ya kuhusika moja kwa moja katika mpango wa kuzitenganisha.

  • Marekani, mhusika wa kujitokeza ugaidi katika Mashariki ya Kati

    Marekani, mhusika wa kujitokeza ugaidi katika Mashariki ya Kati

    Dec 15, 2016 08:11

    Vitalin Churkin, balozi na mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema uingiliaji wa Marekani katika nchi za Iraq na Syria ndio uliosababisha kujitokeza Daesh na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati. Churkin aidha amesema Uingereza na Ufaransa ni washirika wa jinai za Marekani katika kuvuruga amani Mashariki ya Kati.

  • Mwislamu mwingine auawa Marekani kutokana na chuki za kidini

    Mwislamu mwingine auawa Marekani kutokana na chuki za kidini

    Dec 12, 2016 04:43

    Habari kutoka jimbo la California nchini Marekani zinasema kuwa raia mmoja wa nchi hiyo wa dini ya Kiislamu ameuawa nje ya msikiti katika tukio jingine linalodhihirisha chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.

  • Russia: Hatujaafikiana chochote na US kuhusu magaidi wa Aleppo

    Russia: Hatujaafikiana chochote na US kuhusu magaidi wa Aleppo

    Dec 12, 2016 03:48

    Serikali ya Russia imekanusha ripoti za kipropaganda zinazodai kuwa nchi hiyo imesaini mapatano na Marekani ya kuwapa kinga na msamaha magaidi waliosalia katika mji wa Aleppo nchini Syria.

  • Boroujerdi: Siasa za Marekani dhidi ya Iran zingali za kihasama

    Boroujerdi: Siasa za Marekani dhidi ya Iran zingali za kihasama

    Dec 10, 2016 04:03

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) amesema Marekani imekuwa ikiendeleza jinai zake dhidi ya taifa la Iran tangu huko nyuma hadi hivi sasa na kusisitiza kwamba sera za nchi hiyo kuhusiana na taifa la Iran zingali za kiadui na kihasama.

  • Snowden: Marekani na Uingereza zilimfanyia ujasusi Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

    Snowden: Marekani na Uingereza zilimfanyia ujasusi Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

    Dec 09, 2016 04:19

    Nyaraka zilizotolewa na afisa wa zamani wa Wakala wa Usalama wa Taifa wa Marekani zimefichua kuwa mashirika ya kijasusi ya nchi hiyo na yale ya Uingereza yalizifanyia ujasusi nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na Rais wa Kenya.

  • Human Rights Watch: Marekani ni mshirika wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Human Rights Watch: Marekani ni mshirika wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen

    Dec 09, 2016 01:01

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Yemen.

  • Mbunge Mwislamu adhalilishwa na dereva wa teksi Marekani

    Mbunge Mwislamu adhalilishwa na dereva wa teksi Marekani

    Dec 08, 2016 04:06

    Mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomali kuchaguliwa nchini Marekani amesema dereva mmoja wa teksi amemdhalilisha na kumtolea maneno ya chuki dhidi ya Uislamu mjini Washington.

  • Barua ya wazi ya viongozi wa Kiislamu nchini Marekani kwa Donald Trump

    Barua ya wazi ya viongozi wa Kiislamu nchini Marekani kwa Donald Trump

    Dec 07, 2016 04:09

    Zaidi ya Waislamu 300 wa Marekani wameonyesha radiamali yao kwa matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu ya Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS