-
Iran yazindua ‘Mji Mkubwa wa Makombora’ chini ya ardhi + Video
Mar 26, 2025 11:12Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kimezindua “mji mkubwa wa makombora" ulioko chinia ya ardhi, ukiwa ni moja kati ya vituo vyake vingi vya aina hiyo.
-
Maelfu waandamana Washington dhidi ya Trump kabla ya kuapishwa tena kuwa rais wa Marekani
Jan 19, 2025 11:21Makumi ya maelfu ya Wamarekani wameandamana katika mji mkuu Washington dhidi ya rais mteule Donald Trump anayetazamiwa kuapishwa kesho Jumatatu.
-
AU yakabidhi kambi nyingine kwa Somalia katika awamu ya 3 ya kuondoka kijeshi
Jun 17, 2024 10:49Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika (AU) nchini Somalia (ATMIS) kimetangaza kwamba kimekabidhi kambi ya kijeshi ya Barire kwa vikosi vya usalama vya Somalia ikiwa ni kuashiria kuanza awamu ya tatu ya kuondoa wanajeshi wake nchini humo.
-
Watu 21 wafariki dunia na kujeruhiwa baada ya basi la kanisa kuteketea kwa moto Zimbabwe
Jun 17, 2024 10:47Takriban Wakristo saba wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Manicaland waliokuwa wanatoka katika ibada ya kanisa la Bernard Mzeki mjini Marondera wameteketea kwa moja katika ajali mbaya iliyotokea eneo la Gandanzara wilayani Makoni baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuwaka moto ghafla.
-
Le Monde: Ususiaji waziathiri vibaya bidhaa za Marekani
Jun 14, 2024 13:29Gazeti la Le Monde la Ufaransa limeripoti kwamba makampuni ya Marekani yako katika kipindi kigumu hivi sasa kwa kususiwa bidhaa zao kutokana na uungaji mkono wao kwa Israel.
-
UNICEF yatoa mwito wa uwekezaji wa elimu kwa watoto Afrika
Jun 14, 2024 12:37Siku ya Mtoto wa Afrika inaadhimishwa kesho Jumapili. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema kuwa, uwekezaji mkubwa katika elimu ya msingi kwa watoto wa Afrika unahitajika ili kulisaidia bara hilo kutimiza ajenda yake ya muda mrefu ya ustawi na mabadiliko.
-
Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran
Jun 14, 2024 11:28Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema kuwa, hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeimarika mno kiasi kwamba mirengo yote ina wawakilishi wao katika uchaguzi ujao wa Rais humu nchini.
-
Chama kimoja cha siasa Malawi chataka UN kuchunguza ajali ya ndege iliyomuua Makamu wa Rais
Jun 14, 2024 11:25Chama cha siasa cha Malawi Alliance for Democracy kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, kikiuomba umoja huo kuingilia kati uchunguzi kuhusu ajali ya ndege iliyotokea Jumatatu na kumuua Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima na wengine wanane.
-
Bajeti Afrika Mashariki: Wastaafu watabasamu Tanzania, Uganda kupambana na deni la taifa
Jun 14, 2024 04:06Mawaziri wa fedha wa Afrika Mashariki wamewasilisha mipango yao ya matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 huku pakiwa na mazingira magumu ya kiuchumi na kero kubwa la kupanda kwa madeni ya umma.
-
Kamati ya Umoja wa Mataifa: Israel imefanya maangamizi dhidi ya Wapalestina Ukanda wa Gaza
Jun 13, 2024 11:36Kamati ya kutafuta ukweli ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, utawala unaokalia kwa mabavu wa Quds umefanya "maangamizi" ya Wapalestina wakati wa vita dhidi ya Ukanda wa Gaza.