-
Persepolis yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran
Jun 02, 2024 06:59Klabu ya Persepolis ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka hapa nchini baada ya kuichachafya klabu ya Mes Rafsanjan Jumamosi. Esteqlal imemaliza ya pili baada ya kuisasambua Peykan mabao 2-0.
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 27
May 27, 2024 03:44Huu ni mukhtasari wa baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia…..
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 6
May 06, 2024 01:46Huu ni mukhtasari wa baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia…..
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 11
Mar 11, 2024 04:45Hujambo mpenzi msikilizaji, natumai u bukheri wa afya. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia...
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 27
Feb 27, 2024 06:17Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri katika muda wa siku saba zilizopita kutoka sehemu mbali duniani.....
-
Ulimwengu wa Michezo, Februari 19
Feb 19, 2024 03:35Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri katika kona mbalimbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita…
-
Ulimwengu wa Spoti, Februari 12
Feb 12, 2024 04:03Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote uliopo. Karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio yaliyotikisa viwanja mbalimbali, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 29
Jan 29, 2024 02:57Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa yaliyoshuhudiwa viwanjani katika pembe mbali mbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Ripoti: Israel imeua makumi ya wanariadha wa Palestina tangu Oktoba 7
Dec 09, 2023 23:25Israel imeua shahidi makumi ya wanariadha na wamamichezo wa Palestina tangu utawala huo wa Kizayuni uanzishe mashambulizi ya kutisha dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.
-
Persepolis yapoteza mechi yake ya kwanza Ligi ya Klabu Bingwa Asia
Sep 20, 2023 10:38Mechi za raundi ya 1 ya Ligi ya Klabu Bingwa barani Asia zilifanyika jana Jumanne.