-
Mwanahabari wa Marekani ashitakiwa kwa ugaidi Myanmar
Nov 10, 2021 14:23Mwandishi wa habari wa Marekani ambaye anazuiliwa na vyombo vya usalama nchini Myanmar kwa miezi kadhaa sasa amefunguliwa mashitaka ya ugaidi na uhaini, na yumkini akahukumiwa kifungo cha maisha jela.
-
Watu 1000 wameuawa Myanmar tangu yajiri mapinduzi ya kijeshi
Aug 18, 2021 16:26Makundi ya wanaharakati nchini Myanmar yamesema watu zaidi ya elfu moja wameuawa tangu yalipojiri mapinduzi ya kijeshi nchini humo mwezi Februari mwaka huu.
-
UN: Watu milioni moja huko Myanmar wana hali mbaya
Jun 17, 2021 12:42Umoja wa Mataifa umesema kuwa watu milioni moja wana hali mbaya huko Myanmar na wanahitaji misaada ya haraka ya kimataifa.
-
Waliouawa na wanajeshi katika maandamano ya Myanmar wapindukia 500
Mar 30, 2021 08:12Shirika moja la kiraia nchini Myanmar limesema idadi ya watu waliouawa katika maandamano ya wananchi ya kupinga utawala wa kijeshi nchini humo ni zaidi ya watu 500.
-
Bangladesh yachunguza mkasa wa moto ulioua Waislamu 15 wa Rohingya
Mar 24, 2021 02:48Serikali ya Dhaka imeanzisha uchunguzi kubaini kiini cha moto mkubwa uliotokea katika kambi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya katika wilaya ya Cox's Bazar nchini Bangladesh na kuua na kujeruhi mamia ya watu.
-
UN yaitaja siku ya jana kuwa mbaya zaidi Myanmar baada ya mapinduzi ya jeshi, raia 38 wapigwa risasi
Mar 04, 2021 07:24Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Myanmar ametangaza kuwa Jumatano ya jana ilikuwa siku mbaya na ya umwagaji mkubwa zaidi wa damu nchini humo baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali ya kiraia tarehe Mosi Februari mwaka huu.
-
Palestina: Silaha za Israel zimetumika kuua Waislamu na wapinzani wa mapinduzi Myanmar
Mar 04, 2021 04:15Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imeituhumu Israel kuwa inauuzia silaha utawala wa Myanmar ambazo zimetumika kuua Waislamu wa jamii ya Rohingya na vilevile kuua wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo, licha ya marufuku ya kimataifa ya kuiuzia silaha nchi hiyo.
-
Zakharova: Biden anafuata siasa zile zile za Donald Trump
Feb 21, 2021 17:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amejibu matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais wa Marekani kuhusu nchi hiyo akisema: Matamshi hayo ya Joe Biden hayana jipya na hayana tofauti hata kidogo na sera za serikali ya zamani ya Marekani.
-
Umoja wa Mataifa: Hali ya Myanmar inatia wasiwasi
Feb 15, 2021 12:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa hali ya Myanmar inatia wasiwasi na amemtaka mjumbe wake maalumu nchini humo kutayarisha ripoti kuhusu hali ya sasa ya Myanmar.
-
Onyo la jeshi la Myanmar kwa wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi
Feb 10, 2021 02:31Jeshi la Myanmar limetoa onyo kali dhidi ya waandamanaji wanaopinga mapinduzi ya kijeshi nchini humo ambao sasa wamekithirisha maandamano yao.