-
Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji na jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar
Jan 06, 2017 11:22Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, utafanya uchunguzi kuhusiana na ukandamizaji na mauaji yanayoripotiwa kufanywa dhidi ya jamii ya walio wachache ya Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar.
-
HRW: Serikali inaficha jinai na mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Jan 05, 2017 12:39Mashirika ya kutetea haki za binadamu ikiwemo Human Rights Watch yamesema serikali ya Myanmar inajaribu kuficha jinai na mauaji yanayofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
Myanmar yazuia misaada ya Malaysia kuwafikia Waislamu Warohingya
Dec 30, 2016 12:23Utawala wa Myanmar unaendelea kuzuia msafara wa meli za Malaysia zinazosheheni misaada ya dharura kwa ajili ya Waislamu wa kabila la Rohingya huku uhusiano wa nchi mbili hizo ukiendelea kuzorota.
-
Der Spiegel: Waislamu wa Myanmar wanaendelea kuuawa kikatili
Dec 22, 2016 11:16Gazeti mashuhuri la Ujerumani la Der Spiegel limeripoti kuwa, Waislamu wa Myanmar wanaendelea kukandamizwa kwa mbinu za kikatili.
-
HRW: Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu Warohingya
Dec 13, 2016 12:43Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linasema kuna ushahidi unaoonyesha kuwa Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine.
-
UN yataka Suu Kyi azuie mauaji ya Waislamu Myanmar
Dec 09, 2016 10:31Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa kiongozi asiye rasmi wa Myanmar Aung San Suu Kyi achukue hatua za kuzuia ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kofi Annan yuko Myanmar kuchunguza ukatili dhidi ya Waislamu
Dec 03, 2016 00:53Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan yuko nchini Myanmar kuchunguza ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
Mwito wa Suu Kyi wa umoja wa kitafa nchini Myanmar
Dec 01, 2016 23:31Aung San Suu Kyi, Waziri wa Mambo ya Nje na mshauri mkuu wa serikali ya Myanmar ametaka kurejeshwa umoja wa kitaifa nchini humo.
-
UNHCR: Jeshi la Myanmar linafanya njama za kuifutilia mbali jamii ya Waislamu ya Rohingya
Nov 25, 2016 11:33Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kusini mwa Bangladesh amesema kuwa, jeshi la Myanmar linabeba masuuliya ya kampeni ya kufutiliwa mbali jamii ya Waislamu wa Rohingya.
-
Waislamu wa Myanmar waandamwa na mateso ya kila upande
Nov 20, 2016 12:05Waislamu wa kabila la Rohingya wa nchini Myanmar waliokuwa wanakimbilia nchini Bangladesh kwa ajili ya kuokoa maisha yao kutokana na mauaji wanayofanyiwa na askari wa serikali ya mabudha nchini mwao, sasa wanazuia na gadi ya nchi kavu Bangladesh wasiingie tena nchini humo.