Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Netanyahu awashukuru askari katili wa Israel waliowaua Wapalestina Ghaza

    Netanyahu awashukuru askari katili wa Israel waliowaua Wapalestina Ghaza

    Apr 01, 2018 03:06

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amewapongeza na kuwashukuru wanajeshi wa utawala huo haramu waliowaua na kuwajweruhiwa mamia ya Wapalestina waliokuwa wakifanya maandamano ya amani hivi karibuni katika mpaka wa Ghaza, kushinikiza kurejea katika ardhi zao zilizoghusubiwa.

  • Mufti wa Tanzania azitaka taasisi za Hija zimuogope Mwenyezi Mungu

    Mufti wa Tanzania azitaka taasisi za Hija zimuogope Mwenyezi Mungu

    Mar 28, 2018 03:37

    Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir amezitaka taasisi zote zinazojihusisha na usafirishaji wa mahujaji, kufanya shughuli zao kwa utaratibu unaostahili, huku wakimuogopa Mwenyezi Mungu.

  • Netanyahu maji yamfika shingoni; siasa zake zakosolewa hata na Wazayuni

    Netanyahu maji yamfika shingoni; siasa zake zakosolewa hata na Wazayuni

    Mar 28, 2018 02:59

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel anakabiliwa na hali mbaya ya kisiasa kutokana na ukosoaji dhidi ya siasa zake kuongezeka kila siku ambapo sasa maafisa wa zamani wa usalama wa utawala huo ghasibu wamejiunga na safu ya wakosoaji wake.

  • Netanyahu afurahishwa na hatua ya Trump ya kuikatia misaada Mamlaka ya Ndani ya Palestina

    Netanyahu afurahishwa na hatua ya Trump ya kuikatia misaada Mamlaka ya Ndani ya Palestina

    Mar 26, 2018 03:08

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameelezea kufurahishwa sana na hatua ya rais wa Marekani na Baraza la Congress la nchi hiyo ya kupasisha sheria inayojulikana kwa jina la Taylor Force ambayo inaamrisha kukatwa misaada ya Marekani kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina inayoongozwa na Mahmoud Abbas.

  • Waisrael washadidisha maandamano ya kumtaka Netanyahu ajiuzulu

    Waisrael washadidisha maandamano ya kumtaka Netanyahu ajiuzulu

    Feb 16, 2018 23:11

    Maelfu ya Waisraeli wamefanya maandamano katika mji mkuu Tel Aviv kushinikiza kujiuzulu Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel, siku chache baada ya polisi ya Israel kupendekeza Benjami Netanyahu afunguliwe mashitaka kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha anazokabiliwa nazo.

  • Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Jan 14, 2018 04:32

    Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa India, New Delhi, kabla ya kuanza safari ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika nchi hiyo.

  • Mtego wa Israel kwa Saudia, kuwatenga Aal Saud na ulimwengu wa Kiislamu

    Mtego wa Israel kwa Saudia, kuwatenga Aal Saud na ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 15, 2017 02:39

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limetangaza kuwa, Yisrael Katz, waziri wa masuala ya kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel amemwita mjini Tel Aviv, Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia.

  • Njama za utawala haramu wa Israel za kujipenyeza barani Afrika

    Njama za utawala haramu wa Israel za kujipenyeza barani Afrika

    Nov 29, 2017 13:13

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ambaye serikali yake inafanya njama za kujipenyeza barani Afrika amesema kuwa, ana matumaini utawala huo ghasibu utafungua ubalozi mpya katika moja ya nchi za barani hilo.

  • Atwan: Israel haina ubavu wa kutekeleza vitisho inavyotoa dhidi ya Iran

    Atwan: Israel haina ubavu wa kutekeleza vitisho inavyotoa dhidi ya Iran

    Nov 29, 2017 01:35

    Gazeti la Al-Ra'yul-Yaum limeandika kuhusu vitisho hewa vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba Tel Aviv haiwezi kutekeleza kivitendo vitisho vyake vya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran nchini Syria na kumuua kigaidi Jenerali Qassim Soleimani, kwa sababu ikijaribu kufanya hivyo itakabiliwa na mwisho mbaya na si hasha ikawa sababu ya kuangamizwa moja kwa moja.

  • Netanyahu akiri kustawi uhusiano wa Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu

    Netanyahu akiri kustawi uhusiano wa Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu

    Nov 15, 2017 00:22

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema hatofafanua kwa undani kinachoendelea katika uhusiano wa utawala huo na baadhi ya nchi za Kiarabu lakini amesisitiza kwamba uhusiano wa Tel Aviv na nchi hizo umo katika hali ya kupanuka na kustawi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS