-
Askofu Mkuu wa New York: Kashfa za ngono zinavunja imani ya watu kwa kanisa Katoliki
Sep 14, 2018 19:27Askofu Mkuu wa New York nchini Marekani amezungumzia kashfa kubwa ya vitendo vya kuwanajisi watoto katika kanisa Katoliki na kusema kuwa, hali hiyo itaondoa imani ya watu kwa taasisi hiyo ya kidini.
-
Maaskofu wa New York wasailiwa kutokana na kashfa ya ukatili wa kingono
Sep 07, 2018 03:47Mwendesha Mashtaka wa New York nchini Marekani amewaita maaskofu wote wakuu wa jimbo hilo kwenda kwake kutokana na ukatili na udhlilishaji wa kingono uliofanywa na viongozi Kanisa Katoliki.
-
Mwendesha Mastaka Mkuu wa New York amfungulia mashtaka Trump na watoto wake
Jun 15, 2018 00:30Mwendesha Mashtaka Mkuu wa New York nchini Marekani amemfungulia mashtaka Rais Donald Trump na watoto wake kutokana na shughuli zilizo kinyume cha sheria za taasisi ya misaada ya 'Donald J. Charity Foundation.'
-
Ubalozi mdogo wa Israel wafungwa New York, Netanyahu atishiwa kuuawa
Sep 16, 2017 03:47Ubalozi mdogo wa utawala haramu wa Israel mjini New York, Marekani umefungwa baada ya kupokea vitisho.
-
Zarif: Marekani wasifanye wachekwe, kamwe hawawezi kuipindua Jamhuri ya Kiislamu
Jul 18, 2017 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya kijuba na yaliyo kinyume na misingi ya kimataifa yanayotolewa na viongozi wa Marekani wanaosema kuwa siasa zao kuu ni kufanya mapinduzi nchini Iran na kuiangusha Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yaanza New York, Marekani
Mar 27, 2017 08:37Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yameanza mjini New York Marekani bila ya kuwashirikisha wajumbe kutoka Russia, Marekani, Ufaransa na Uingereza.
-
Wamarekani waendeleza maandamo dhidi ya Trump licha ya onyo kali la serikali dhidi yao
Jan 26, 2017 03:56Mamia ya wakazi wa jiji la New York Marekani wamemiminika mabarabarani katika kutangaza upinzani wao dhidi ya hatua za rais mpya wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Idadi ya watu wasio na makazi wala nyumba yavunja rekodi Marekani
Dec 26, 2016 00:58Ripoti iliyotolewa na Muungano wa Taifa kwa Ajili ya Kukomesha Hali ya Kutokuwa na Makazi nchini Marekani (National Alliance to End Homelessness) inaonesha kuwa, idadi ya watu wasio na makazi nchini humo imeongezeka kwa kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea New York
Apr 18, 2016 02:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo asbuhi ameelekea mjini New York Marekani kwa ajili ya kushiriki katika sherehe za kutiwa saini makubaliano ya Mabadiliko ya Tabia- Nchi katika Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa muafaka uliofikiwa mjini Paris Ufaransa.