Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Askari usalama Nigeria wawakamata wanachama 40 wa genge lenye silaha

    Askari usalama Nigeria wawakamata wanachama 40 wa genge lenye silaha

    Apr 27, 2021 02:46

    Kikosi cha usalama nchini Nigeria ckimewatia nguvuni wanachama 40 wa genge la watu waliokuwa na silaha wakati wa operesheni iliyofanyika katika jimbo la kusini la Edo.

  • Polisi ya Nigeria yaua 'majambazi' 30 kaskazini magharibi mwa nchi

    Polisi ya Nigeria yaua 'majambazi' 30 kaskazini magharibi mwa nchi

    Apr 21, 2021 01:50

    Jeshi la Polisi la Nigeria limetangaza kuwa limeua wabeba silaha 30, baada ya genge la majambazi kuvamia vijiji vinne huko kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Nigeria yatuma makumi ya askari polisi wake nchini Somalia

    Nigeria yatuma makumi ya askari polisi wake nchini Somalia

    Apr 19, 2021 03:17

    Kikosi cha askari polisi 144 wa Nigeria kimewasili nchini Somalia, kwenda kupiga jeki jitihada za kurejesha uthabiti katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Watekaji nyara watishia kuua makumi ya wanafunzi wa Nigeria

    Watekaji nyara watishia kuua makumi ya wanafunzi wa Nigeria

    Apr 18, 2021 22:23

    Genge la wabeba silaha lililoteka wanafunzi karibu 30 wa taasisi moja ya elimu ya juu katika jimbo la Kaduna huko kaskazini magharibi mwa Nigeria mwezi uliopita limetishia kuwaua vijana hao wa kike na kiume, baada ya serikali kukataa kuwapa kikomboleo.

  • Wanigeria wataka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Wanigeria wataka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Apr 17, 2021 03:05

    Mamia ya wafuasi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria (IMN), wamefanya maandamano wakitaka kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe, Mallimah Zeenah.

  • Raia 65,000 wahama makazi yao kaskazini mashariki ya Nigeria kukimbia mashambulio ya kundi la ISWAP

    Raia 65,000 wahama makazi yao kaskazini mashariki ya Nigeria kukimbia mashambulio ya kundi la ISWAP

    Apr 16, 2021 22:12

    Shirka la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limeripoti kuwa, watu wasiopungua 65,000 wameuhama mji wa Damasak kaskazini mashariki ya Nigeria kufuatia mashambulio kadhaa ya kundi la wabeba silaha.

  • Watu wenye silaha wauwa wanajeshi 11 katika jimbo la Benue, Nigeria

    Watu wenye silaha wauwa wanajeshi 11 katika jimbo la Benue, Nigeria

    Apr 09, 2021 11:04

    Msemaji wa jeshi la Nigeria amesema kuwa wanajeshi wa nchi hiyo waliokuwa wakifanya kazi jimbo la Benue katikati mwa nchi hiyo wameshambuliwa na watu wenye silaha wakiwa kazini.

  • Mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu waua 50 nchini Nigeria

    Mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu waua 50 nchini Nigeria

    Apr 06, 2021 22:59

    Makumi ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.

  • Milio mikubwa ya risasi yasikika karibu na ofisi ya rais nchini Niger

    Milio mikubwa ya risasi yasikika karibu na ofisi ya rais nchini Niger

    Mar 31, 2021 03:13

    Milio mikubwa ya risasi imesikika mapema leo karibu na ofisi ya rais wa Niger katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey, siku mbili kabla ya kuapishwa rais mpya Mohamed Bazoum.

  • Mji wa Maiduguri wasalia bila ya umeme kwa mara nyingine tena baada ya shambulio la Daesh

    Mji wa Maiduguri wasalia bila ya umeme kwa mara nyingine tena baada ya shambulio la Daesh

    Mar 29, 2021 00:01

    Shirika la Taifa la Umeme la Nigeria limetangaza kukatika kwa huduma ya umeme kwa mara nyingine tena katika mji wa Maiduguri makao makuu ya jimbo la Borno huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo baada ya shambulio la kundi la kigaidi la Daesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS