Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Makumi ya watoto wengine waliotekwa nyara Nigeria waokolewa

    Makumi ya watoto wengine waliotekwa nyara Nigeria waokolewa

    Dec 21, 2020 04:48

    Jeshi la Polisi la Nigeria limetangaza habari ya kuwanusuru makumi ya wanafunzi waliotekwa nyara na watu waliobeba silaha siku ya Jumamosi.

  • Mamia ya wanafunzi waliotekwa na Boko Haram waachiwa huru

    Mamia ya wanafunzi waliotekwa na Boko Haram waachiwa huru

    Dec 18, 2020 03:52

    Vyombo vya usalama vya Nigeria vimetangaza habari ya kuwanusuru karibu wanafunzi wavulana 350 kati ya 520 wa shule ya upili ya eneo la Kankara kaskazini magharibi mwa nchi, waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • "Saudia imeipa serikali ya Nigeria mamilioni ya dola imuue Sheikh Zakzaky"

    Dec 17, 2020 04:09

    Wakili wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia umeipa serikali ya Abuja mamilioni ya dola ili imuue mwanaharakati huyo wa Kiislamu anayeshikiliwa kizuizini mwa miaka mitano sasa.

  • Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwakomboa wanafunzi kadhaa waliokuwa wametekwa nyara  huko Katsina

    Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwakomboa wanafunzi kadhaa waliokuwa wametekwa nyara huko Katsina

    Dec 16, 2020 04:41

    Maafisa wa Nigeria wameeleza kuwa, wanafunzi kadhaa waliokuwa wametekwa nyara na magaidi wa kundi la Boko Haram wamekombolewa.

  • Katibu Mkuu wa UN alaani hujuma dhidi ya shule Nigeria

    Katibu Mkuu wa UN alaani hujuma dhidi ya shule Nigeria

    Dec 15, 2020 23:42

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali hujuma iliyofanywa Ijumaa iliyopita katika shule ya sekondari mkoani Katsina nchini Nigeria, ambapo mamia ya wavulana walitekwa nyara na wahalifu waliokuwa na silaha.

  • Msomi wa Nigeria: Sheikh Ibrahim Zakzaky anashikiliwa kizuizini kwa amri ya Saudi Arabia

    Msomi wa Nigeria: Sheikh Ibrahim Zakzaky anashikiliwa kizuizini kwa amri ya Saudi Arabia

    Dec 13, 2020 23:25

    Sheikh Abdul-Hamid Bilo, mmoja wa wanazuoni wa Kishia nchini Nigeria amesema kuwa, Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anashikiliwa kizuizini kwa amri ya watawala wa Kiwahabi wa Saudi Arabia.

  • Kumbukumbu ya mauaji ya Waislamu huko, Zaria kaskazini mwa Nigeria

    Kumbukumbu ya mauaji ya Waislamu huko, Zaria kaskazini mwa Nigeria

    Dec 12, 2020 03:56

    Leo Waislamu wa Nigeria wanakumbuka mauaji yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.

  • ICC: Tuna ushahidi wa kutosha wa kuwafungulia mashtaka maafisa wa Nigeria

    ICC: Tuna ushahidi wa kutosha wa kuwafungulia mashtaka maafisa wa Nigeria

    Dec 11, 2020 23:58

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, amesema kuwa, ana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuwafungulia mashtaka maafisa wa Nigeria kuhusu mateso na ukandamizaji waliofanyiwa wananchi wa nchi hiyo.

  • Nigeria inatumia vifaa vya kijasusi vya Israel dhidi ya wapinzani

    Nigeria inatumia vifaa vya kijasusi vya Israel dhidi ya wapinzani

    Dec 09, 2020 08:28

    Ripoti mpya imefichua kuwa, Shirika la Kijasisi la Jeshi la Nigeria (DIA) linatumia programu ya kijasusi ya Israel kudukua na kupeleleza simu na jumbe fupi za simu za wapinzani na raia wengine nchini humo.

  • Serikali ya Nigeria inatumia vibaya programu za ujasusi za Wazayuni dhidi ya raia wa nchi hiyo

    Serikali ya Nigeria inatumia vibaya programu za ujasusi za Wazayuni dhidi ya raia wa nchi hiyo

    Dec 09, 2020 04:10

    Ripoti iliyotolewa na Chuo Kikuu kimoja cha nchini Canada imeeleza kuwa, serikali ya Nigeria inatumia vibaya programu za utawala wa Kizayuni kufuatilia maongezi na jumbe za wapinzani na raia wengine wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS