-
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 70 wa Boko Haram
Jan 27, 2025 12:25Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema wanamgambo wasiopungua 70 wa Boko Haram waliuawa katika msururu wa operesheni za karibuni za kijeshi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Makumi ya wanajeshi wa Nigeria wauawa katika shambulio la kigaidi
Jan 27, 2025 02:25Watu wanaoshukiwa kuwa magaidi wamewaua wanajeshi 20 wa Nigeria, akiwemo kkamanda wa ngazi ya juu, baada ya kushambulia kambi moja ya jeshi katika jimbo la Borno la kaskazini mashariki.
-
Nigeria yachunguza mripuko mwingine wa lori la mafuta ulioua 18
Jan 26, 2025 14:03Mamlaka za Nigeria zimeanzisha uchunguzi baada ya watu 18 kuthibitishwa kufariki dunia kwenye mripuko wa lori la mafuta ya petroli.
-
Sheikh Zakzaky awaenzi watoto wa Mashahidi wa Nigeria, Palestina
Jan 25, 2025 11:33Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria aliandaa dhifa ya chakula cha jioni Ijumaa usiku kwa ajili ya kuzienzi familia za wafuasi wake waliopoteza maisha katika harakati za kupigania haki nchini Nigeria na katika kadhia ya Palestina.
-
Chukwuka: BRICS itahuisha uchumi na kupunguza ushawishi wa Magharibi
Jan 25, 2025 02:56Kujiunga Nigeria na jumuiya ya BRICS kama nchi mshirika ni hatua kubwa kuelekea ufufuaji wa uchumi na kupunguza ushawishi wa Magharibi.
-
Jeshi la Nigeria: Magaidi 34 wa Boko Haram wameangamizwa katika jimbo la Borno
Jan 09, 2025 03:10Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa vikosi vyake vimewaua magaidi 34 wa kundi la Boko Haram katika mapigano ya silaha kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno huku wanajeshi sita pia wakipoteza maisha.
-
Polisi wa Nigeria wawakomboa mateka baada ya makabiliano ya risasi na watekaji nyara
Jan 06, 2025 13:20Polisi ya Nigeria imeripoti kuwa mateka wanne waliotekwa nyara wamekombolewa baada ya makabiliano ya risasi na watekaji nyara katika jimbo la Imo kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Rais wa Nigeria apongeza mpango wa nchi hiyo wa mabadiliko ya kodi
Dec 25, 2024 02:18Rais wa Nigeria Bola Tinubu amesema kuwa atasonga mbele na miswada minne ya marekebisho ya kodi ambayo tayari imewasilishwa bungeni licha ya kukabiliwa na radiamali hasi ya magavana kadhaa wa majimbo nchini humo.
-
Watu zaidi ya 20 wapoteza maisha katika mkanyagano wakati wa ugawaji wa chakula huko Nigeria
Dec 21, 2024 14:01Takriban watu 20 wamepoteza maisha katika tukio la mkanyagano lililotokea katika zoezi la ugawaji chakula katika Jimbo la Anambra, kusini mashariki mwa Nigeria.
-
Watoto 32 waaga dunia katika mkanyagano kwenye tamasha la wanafunzi nchini Nigeria
Dec 19, 2024 11:21Kamanda wa Polisi katika jimbo la Oyo nchini Nigeria, Adewale Osifeso, amesema kuwa watoto wasiopungua 32 wamethibitishwa kufariki dunia katika mkanyagano wa jana kwenye tamasha la wanafunzi jimboni humo.