-
Shambulio la Boko Haram laua watu 8 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 15, 2018 03:12Watu wasiopungua wanane wanaripotiwa kuuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuvishambulia vijiji viwili.
-
Jeshi la Nigeria lazima shambulizi la magaidi wa Boko Haram
Sep 13, 2018 22:51Duru za kijeshi za Nigeria zimetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram limeshambulia kambi nyingine ya kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo lakini shambulio hilo limezimwa.
-
Rais Muhammad Buhari atangaza kutetea kiti chake katika uchaguzi ujao wa Nigeria
Sep 13, 2018 03:02Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametangaza kuwa atagombea tena kiti cha urais katika uchaguzi ujao uliopangwa kufanyika Februari mwaka ujao wa 2019.
-
Raia 21 wa Nigeria waachiliwa huru kutoka mikononi mwa kundi la Boko Haram
Sep 08, 2018 02:35Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuachiliwa huru raia 21 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 14 wa kundi la Boko Haram
Sep 07, 2018 09:51Magaidi 14 wa kundi la Boko Haram wameuawa kwenye operesheni iliyofanywa na jeshi la Nigeria jana katika kijiji cha Pulka, wilaya ya Gwoza, mkoani Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Askari 30 wauawa na makumi wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 01, 2018 21:53Askari 30 wa Nigeria wameuliwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Amnesty International yalalamikia kutiwa nguvuni Waislamu nchini Nigeria
Aug 30, 2018 23:26Shirika la haki za binadamu la Amnesty International limelaani hatua ya serikali ya Abuja ya kuwaweka kizuizini kinyume sheria Waislamu hasa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Umoja wa Mataifa walaani shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 21, 2018 22:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la kigaidi la kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria ambalo lilipelekea kuuawa makumi ya raia wasio na hatia.
-
Nigeria yawarahisishia raia wake kurejea nyumbani kwa hiari kutokea Libya
Aug 21, 2018 03:10Serikali ya Nigeria kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) imeamua kuwarahishia njia za kurejea nyumbani kwa hiari raia wake waliokwama nchini Libya.
-
Watu 19 wauawa katika shambulio la wanamgambo kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 20, 2018 03:19Duru za habari zimeripoti kuwa watu 19 wameuliwa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo katika kijiji kimoja kilichoko kaskazini mashariki mwa Nigeria.