-
Watoto 33 wafariki katika kambi za wakimbizi wa ndani nchini Nigeria
Aug 18, 2018 03:04Watoto wasiopungua 33 wamepoteza maisha katika kipindi cha wiki mbili kati ya tarehe 2 na 15 Agosti katika kambi moja ya wakimbizi wa ndani ya nchi (IDP) kaskazini mwa Nigeria.
-
Kaimu Rais wa Nigeria alaani kuzuiwa wabunge kuingia bungeni
Aug 08, 2018 04:38Hatua ya kuzingirwa Bunge la Taifa la Nigeria jana Jumanne kulikofanywa na askari usalama wa nchi hiyo ambao waliwazuia wabunge kuingia bungeni kwa muda wa karibu saa nzima ilifanywa bila ya ofisi ya Rais kuwa na taarifa. Hayo yamesemwa na Kaimu Rais wa Nigeria ambaye amemfuta kazi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
-
Mahakama ya Kaduna kusikiliza kesi ya Sheikh Zakzaky Oktoba 4
Aug 03, 2018 23:52Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna nchini Nigeria imetangaza kuwa, itasikiliza ombi la kuachiliwa huru kwa dhamana Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kkiislamu ya Nigeria.
-
Kuthibiti kutokuwa na hatia wafuasi wa Sheikh Zakzaky wa Harakati ya Kiislamu Nigeria
Aug 01, 2018 21:54Hatimaye, baada ya miaka miwili, Mahakama ya Juu ya katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria, baada ya kusikiliza kesi dhidi ya wafuasi 100 wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeamua kuwaachilia huru.
-
Amnesty International: Serikali ya Nigeria imeshindwa kudhamini usalama wa jimbo la Zamfara
Aug 01, 2018 10:56Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kwamba serikali ya Nigeria imeshindwa kudhamini usalama wa jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo, kutokana na jimbo hilo kudhibitiwa na makundi ya wabeba silaha.
-
ICG: Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Nigeria hatari kushinda Boko Haram
Jul 26, 2018 02:48Shirika moja lisilo la kiserikali nchini Nigeria limesema watu waliouawa katika mapigano baina ya wakulima na wafugaji nchini humo ni mara sita zaidi ikilinganishwa na watu waliouwa katika hujuma za kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2018.
-
Mwanachuo aliyenyimwa cheti Nigeria kutokana na hijabu apata faraja
Jul 24, 2018 11:44Mwanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu aliyezuiwa mwaka jana kushiriki sherehe za mahafali kutokana na kuvaa vazi la hijabu mbali na kunyimwa cheti chake licha ya kupasi kwa Digrii ya Daraja ya Kwanza ya Juu katika somo la sheria, hatimaye amepata faraja baada ya mashinikizo kutoka kona mbalimbali hususan kwenye mitandao ya kijamii.
-
Magaidi wa Boko Haram wahujumu msikiti na kuua watu wanane Nigeria
Jul 23, 2018 22:55Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia msikiti na kuua watu wanane mashariki mwa Nigeria.
-
Magaidi 22 wa genge la Boko Haram wanaswa nchini Nigeria
Jul 19, 2018 03:25Polisi ya Nigeria wametangaza kwamba maafisa usalama wa nchi hiyo wamewatia mbaroni wanachama 22 na viongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Janga la mafuriko laua makumi ya watu Nigeria
Jul 17, 2018 11:28Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Nigeria yameua watu zaidi ya 49, na wengine 20 bado hawajulikano waliko kwenye mpaka wa nchi hiyo na Niger.