-
Jeshi la Nigeria latangaza kuua magaidi 22 wa Boko Haram
Jul 16, 2018 09:51Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limeua magaidi 22 wa kundi la Boko Haram katika mapigano makali kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Askari 23 wa Nigeria watoweka baada ya shambulizi la Boko Haram
Jul 15, 2018 03:04Wanajeshi wasiopungua 23 wa Nigeria hawajulikani walipo baada ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kushambulia msafara wa magari ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Mashinikizo ya Saudia yapelekea Nigeria isimuachilie huru Sheikh Zakzaky
Jul 12, 2018 23:39Utawala wa Saudi Arabia unaishinikiza serikali ya Nigeria isimuachilie huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Afya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yazidi kuwa mbaya
Jul 11, 2018 03:15Habari kutoka kwa watu walio karibu na familia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye anaendelea kushikiliwa na vyombo vya uusalama vya nchi hiyo zinasema kuwa, hali ya kiafya ya mwanaharakati huyo wa Kiislamu imezidi kuwa mbaya.
-
Maandamano yaendelea Nigeria kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Jul 08, 2018 08:57Wananchi wameendelea kuandamana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wakitaka serikali ya hiyo imuahcilie huru Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo.
-
Magaidi wa Boko Haram waua watu 8 katika hujuma mpakani mwa Nigeria na Cameroon
Jul 01, 2018 22:08Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia kambi ya wakimbizi wa ndani ya nchi, IDP, katika hujuma waliyotekeleza katika eneo la mpaka wa Nigeria na Cameroon ambapo watu wasiopungua wanne wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Watu tisa wafariki baada ya mripuko wa lori la mafuta Nigeria
Jun 29, 2018 00:13Watu kadhaa wamefariki dunia katika mlipuko wa lori la mafuta uliotokea barabarani jana katika mji wa Lagos nchini Nigeria, na kuchoma magari mengi.
-
Idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya kikabila Nigeria yapindukia 200
Jun 27, 2018 09:08Gavana wa jimbo la Plateau lililoko katikati mwa Nigeria amesema idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya kikabila yaliyofanyika mwishoni mwa wiki imepindukia watu 200.
-
Zaidi ya watu 80 wameuawa katika mapigano ya kikabila nchini Nigeria
Jun 25, 2018 10:11Polisi nchini Nigeria imetangaza habari ya kuuawa watu 86 katika mapigano mapya ya kikabila yaliyotokea katikati ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Watu 25 waaga dunia kwa maradhi ya kipindupindu Nigeria
Jun 22, 2018 09:40Watu wasiopungua 25 wamefariki dunia kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia maradhi ya kipindupindu yaliyoibuka katika maeneo hayo.