-
Maandamano ya Waislamu yaendelea Nigeria kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Jun 20, 2018 22:40Waislamu wa mji wa Kaduna wa kaskazini magharibi mwa Nigeria kwa mara nyingine wamefanya maandamano ya kulaani kuendelea kushikiliwa korokoroni kinyume cha sheria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika hujuma mbili Nigeria yaongezeka
Jun 19, 2018 09:21Idadi ya wahanga wa miripuko miwili ya kujitoa muhanga kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka.
-
UN yalaani mashambulizi ya Boko Haram yaliyowalenga Waislamu nchini Nigeria
Jun 18, 2018 23:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya genge la kigaidi la Boko Haram yaliyowalenga Waislamu waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya Idul Fitr kaskazini mashariki mwa Nigeria
-
Waislamu 31 waliokuwa wanasherehekea Idi wauliwa na Boko Haram nchini Nigeria
Jun 17, 2018 10:45Watu wasiopungua 31 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika miripuko ya mabomu iliyotokea usiku wa kuamkia leo kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Seneta nchini Nigeria atupwa jela miaka 14 kwa kuhusika na ubadhirifu wa fedha za serikali
Jun 13, 2018 11:05Seneta wa zamani wa Jimbo la Plateau Magharibi mwa Nigeria, Joshua Dariye, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa kiasi cha Naira bilioni 1.162 alipokuwa gavana wa jimbo hilo.
-
Magendo ya silaha na ukatili vyashamiri Nigeria
Jun 09, 2018 12:28Ongezeko la uuzaji wa silaha kinyume cha sheria nchini Nigeria umezidisha hali mbaya ya kiusalama, ukatili na machafuko katika nchi hiyo yenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika.
-
Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 148 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram
Jun 05, 2018 02:37Jeshi la Nigeria limetangaza kuwakomboa watu 148, wakiwemo wanawake 58 na watoto 75, ambao walikuwa wametekwa nyara na kundi la magaidi wakufurishaji la Boko Haram.
-
Watu 13 wauawa katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa Nigeria
Jun 04, 2018 01:36Viongozi wa serikali ya Nigeria wametangaza habari ya kuuawa watu 13 katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa nchi.
-
Watu 7 wauawa katika shambulizi la kigaidi karibu na msikiti Nigeria
May 28, 2018 10:11Kwa akali watu saba wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea karibu na msikiti mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Sheikh Zakzaky hajulikani alipo, njia za mawasiliano zakatwa
May 20, 2018 02:51Harakati ya Kiislamu Nigeria imeeleza juu ya wasi wasi ilionao kuhusu uwepo wa kiongozi wao, Sheikh Ibrahim Zakzaky, na kubainisha kwamba njia ambazo zilikuwa zikitumiwa na familia na watu wa karibu naye kwa ajili ya mawasiliano zimekatwa.