-
Kufikishwa mahakamani Sheikh Ibrahim Zakzaky na kufanyika kikao cha kimaonyesha
May 16, 2018 08:10Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) jana Jumanne alifikishwa mahakama kuu ya jimbo la Kaduna.
-
Sheikh Zakzaky apandishiwa kizimbani jimboni Kaduna
May 16, 2018 03:04Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna.
-
Wahajiri wa Nigeria waishtaki Italia kwa kukanyaga haki zao
May 08, 2018 22:28Kundi la wahajiri raia wa Nigeria ambao ni manusura wa ajali za boti zilizoshuhudiwa mwaka jana wameifungulia mashitaka serikali ya Italia kwa kukiuka haki zao za binadamu.
-
Watu 1000 waliokuwa wametekwa na Boko Haram Nigeria waokolewa
May 08, 2018 03:09Jeshi la Nigeria limesema hivi karibuni lilifanikiwa kuwaokoa mateka wapatao elfu 1 kutoka kwa kundi lenye msimamo mkali la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Tuhuma mpya za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
May 02, 2018 09:34Katika hali ambayo serikali ya Nigeria inaendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kukaidi hukumu ya Mahakama Kuu ya nchi hiyo illiyoamrisha aachiliwe huru, sasa hivi serikali ya Abuja imezuka na tuhuma mpya dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Watu zaidi ya 60 wauawa katika milipuko ya mabomu kaskazini mashariki mwa Nigeria
May 01, 2018 23:48Watu zaidi ya 60 wameuawa katika matukio mawili ya milipuko ya mabomu ya kujitolea muhanga kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu 11 wauawa Nigeria, misikiti 2 yachomwa moto
Apr 26, 2018 10:54Kwa akali watu 11 wameuawa katika jimbo la Benue, katikati mwa Nigeria katika mapigano ya kikabila, siku moja baada ya watu wengine 18 kuuawa wakiwa kanisani katika jimbo hilo.
-
Watu 18 wauawa katika hujuma dhidi ya kanisa nchini Nigeria
Apr 24, 2018 22:28Kundi la watu waliobeba silaha limeshambulia kanisa moja la Kikatoliki nchini Nigeria na kuua watu wasiopungua 18.
-
Mashambulizi pacha ya mabomu yaua kadhaa msikitini Nigeria
Apr 22, 2018 09:31Mashambulizi pacha ya mabomu yameua waumini watatu wa Kiislamu msikitini katika mji wa Bama jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu wenye silaha waua watu 27 kaskazini mwa Nigeria
Apr 21, 2018 02:47Maafisa wa serikali ya Nigeria wametangaza habari ya kuuawa watu 27 katika mashambulizi ya magenge yenye silaha kaskazini mwa nchi hiyo.