-
Kushadidi vitendo vya ukandamizaji vya polisi ya Nigeria dhidi ya Waislamu
Apr 18, 2018 03:31Polisi nchini Nigeria imeshadidisha vitendo vya ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo kufuatia kuongezeka maandamano na matakwa ya kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Polisi Nigeria waua mshiriki wa maandamano ya kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Apr 16, 2018 23:12Mtu moja ameuawa baada ya polisi ya Nigeria kuwafyatulia risasi watu waliokuwa wakiandamana kwa amani wakitaka kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
-
Nigeria katika mwaka wa nne tangu kutekwa nyara mabinti 200
Apr 14, 2018 12:50Nigeria imeadhimisha mwaka wa nne tangu kutekwa nyara zaidi ya mabinti 200 wa shule ya sekondari huku ikikaririwa miito ili kuachiwa huru wanafunzi hao. Mabinti hao walitekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram lenye mfungamano na kundi la ukufurishaji la Daesh katika mji wa Chibok kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Magaidi wa Boko Haram wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea 2013
Apr 13, 2018 09:40Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea mwaka 2013.
-
Amnesty International yakosoa ongezeko la adhabu ya kifo nchini Nigeria
Apr 13, 2018 02:57Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limekosoa ongezeko la hukumu za adhabu ya kifo nchini Nigeria.
-
Rais Buhari wa Nigeria asema atagombea muhula wa pili mwakani
Apr 10, 2018 02:35Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametangaza kuwa atagombea muhula wa pili katika uchaguzi wa rais nchini humo mwaka ujao 2019.
-
Jeshi la Nigeria lawaokoa mateka 149 kutoka mikononi mwa Boko Haram
Apr 09, 2018 22:19Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewakomboa mateka 149 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
IMN: Malalamiko yataendelea mpaka Sheikh Zakzaky atakapoachiliwa huru
Apr 08, 2018 23:08Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imesisitiza katika taarifa yake kwamba, maandamano na malalamiko yataendelea hadi pale kiongozi wake Sheikh Ibrahim Zakzaky atakapoachiliwa huru.
-
Maandamano ya kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru Nigeria
Apr 08, 2018 09:19Watu wa Nigeria wameendeleza maandamano yao ya kulaani hatua ya serikali kuendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky huku wakitaka aachiliwe huru mara moja.
-
Homa ya Lassa imeshaua zaidi ya watu 140 nchini Nigeria
Apr 05, 2018 10:11Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na homa ya Lassa nchini Nigeria imepindukia 140.