-
Al Azhar: Uislamu umempa heshima kubwa mwanamke
Nov 16, 2016 04:25Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu imempa heshima kubwa sana mwanamke na kutukuza nafasi yake muhimu katika jamii.
-
Watu 31 wauawa katika mapigano ya kikabila huko katika jimbo la Kaduna, Nigeria
Nov 15, 2016 10:15Duru za afya katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria, zimearifu juu ya kujiri mapigano makali ya kikabila na kupelekea makumi ya watu kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Iran yalaani mauaji ya Waislamu nchini Nigeria
Nov 15, 2016 10:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hatua ya Jeshi la Nigeria kuwashambulia na kuwaua Waislamu waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria
Nov 15, 2016 07:42Katika kuendelea vitendo vya mauaji vya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu, kwa mara nyingine Waislamu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wameshambuliwa na jeshi.
-
Jeshi Nigeria laua Waislamu 100 wa madhehebu ya Shia mjini Kano
Nov 14, 2016 12:46Waislamu wasiopungua 100 wa madhehebu ya Shia wameuawa leo nchini Nigeria kwa kupigwa risasi na jeshi la nchi hiyo.
-
Bomoabomoa na machafuko yawafanya watu 30,000 wabaki bila makaazi Lagos, Nigeria
Nov 11, 2016 04:38Watu wapatao 30,000 wamebaki bila makaazi kufuatia zoezi la ubomoaji nyumba lililotekelezwa kwa amri ya serikali ya Nigeria pamoja na fujo na mapigano yaliyohusisha wakaazi wa jamii hasimu za maeneo ya mabanda katika jiji kuu la nchi hiyo Lagos.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria yataka wananchi kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali
Nov 09, 2016 10:27Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewataka wananchi wa nchi hiyo kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali ya nchi hiyo ili kushinikiza suala la kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeendelea kushikiliwa katika korokoro za nchi hiyo.
-
Mashia Nigeria: Serikali inapanga kutuhujumu wakati wa Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 09, 2016 04:24Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imesema vyombo vya usalama nchini humo vinapanga kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia wakati wa Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram
Nov 06, 2016 04:12Kwa akali askari 14 wa jeshi la Nigeria wameuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini
Nov 04, 2016 12:20Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Nigeria wamekosoa vikali ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na vyombo vya usalama nchini humo na kusisitiza kuwa, dhulma hizo zimetokana na fikra za Kiwahabi.