Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Magaidi wanane wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Magaidi wanane wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Nov 02, 2016 10:56

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limewauwa wanachama wanane wa kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Uzalishaji mafuta warejea katika hali yake ya kawaida nchini Nigeria

    Uzalishaji mafuta warejea katika hali yake ya kawaida nchini Nigeria

    Nov 02, 2016 00:53

    Waziri wa Mafuta wa Nigeria amesema kuwa, uzalishaji mafuta umerejea katika hali yake ya kwaida nchini humo.

  • Serikali ya Nigeria yatakiwa kuongeza juhudi za kuwapokonya silaha wanamgambo

    Serikali ya Nigeria yatakiwa kuongeza juhudi za kuwapokonya silaha wanamgambo

    Oct 30, 2016 00:24

    Asasi isiyo ya kiserikali ijulikanayo kwa jina la Mercy Corps imeitaka serikali ya Nigeria kuunganisha nguvu zake na kuzitumia kwa ajili ya kuwapokonya silaha wanamgambo na kufanya juhudi za kuandaa mazingira mazuri ya kuwafanya wanamgambo hao wanaopokonywa silaha wakubalike katik ajamii.

  • Mamia ya watoto waachiwa huru kutoka korokoro za serikali, Nigeria

    Mamia ya watoto waachiwa huru kutoka korokoro za serikali, Nigeria

    Oct 29, 2016 01:17

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mamia ya watoto wameachiwa huru kutoka kwenye korokoro za serikali ya Nigeria.

  • Nigeria yaanzisha miradi ya miundo msingi kuzuia uasi Niger Delta

    Nigeria yaanzisha miradi ya miundo msingi kuzuia uasi Niger Delta

    Oct 28, 2016 10:21

    Serikali ya Nigeria imezindua miradi ya miundo msingi itakayogharimu dola bilioni 10 katika eneo linalokumbwa na uasi la Niger Delta ili kumaliza uasi huo.

  • UN: Nigeria inakabiliwa na hali mbaya zaidi ya kibinadamu barani Afrika

    UN: Nigeria inakabiliwa na hali mbaya zaidi ya kibinadamu barani Afrika

    Oct 27, 2016 07:24

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na uratibu wa misaada ya kibinadamu ameonya kuwa Nigeria ni nchi inayokabiliwa na hali mbaya zaidi ya kibinadamu barani Afrika ambapo watoto wapatao 400,000 wanataabika kwa njaa huku raia wakiteseka kwa kupata kiwango kidogo au kukosa kabisa ulinzi, usalama, chakula au hata maji safi.

  • Waasi wa Niger Delta: Tumeshambulia bomba la mafuta la kampuni ya Chevron

    Waasi wa Niger Delta: Tumeshambulia bomba la mafuta la kampuni ya Chevron

    Oct 25, 2016 13:08

    Kundi la wanamgambo wanaojiita Walipizaji Kisasi wa Niger Delta limetangaza kuwa limeshambulia bomba la mafuta katika eneo la uzalishaji nishati hiyo kusini mwa Nigeria na kuyaonya makampuni ya kigeni ya mafuta kutoyafanyia matengenezo mabomba hayo yaliyoharibiwa.

  • Makumi ya watu wapoteza maisha kwa ugonjwa wa malaria ndani ya siku 30 nchini Nigeria

    Makumi ya watu wapoteza maisha kwa ugonjwa wa malaria ndani ya siku 30 nchini Nigeria

    Oct 22, 2016 11:43

    Maafisa wa idara ya afya nchini Nigeria wametangaza kuwa makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa malaria.

  • Harakati ya Kiislamu Nigeria kotini kupinga marufuku dhidi yake

    Harakati ya Kiislamu Nigeria kotini kupinga marufuku dhidi yake

    Oct 21, 2016 10:31

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeelekea mahakamani kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa serikali kupiga marufuku shughuli za harakati hiyo katika jimbo la Kaduna.

  • IHRC: Saudia inashiriki kukandamiza Harakati ya Kiislamu Nigeria

    IHRC: Saudia inashiriki kukandamiza Harakati ya Kiislamu Nigeria

    Oct 20, 2016 23:53

    Kamisheni ya Haki za Binadamu za Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London Uingereza imetangaza kuwa, nyaraka zilizofichuliwa na mtandao wa WikiLeaks zinathibitisha kwamba Saudi Arabia inashiriki katika kukandamiza Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS