Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Waliouawa katika mapigano ya kikabila nchini Nigeria wafikia 40

    Waliouawa katika mapigano ya kikabila nchini Nigeria wafikia 40

    Oct 18, 2016 11:25

    Duru za hospitali nchini Nigeria zimeripoti ongezeko la watu waliouawa katika mapigano ya kikabila kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Boko Haram: Tuko tayari kuwaachia huru wanafunzi wengine 83

    Boko Haram: Tuko tayari kuwaachia huru wanafunzi wengine 83

    Oct 18, 2016 03:27

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeeleza juu ya utayarifu wake wa kuwaachia huru makumi ya wanafunzi wa kike waliowateka nyara zaidi ya miaka miwili iliyopita.

  • Nigeria yamkamata mjumbe wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu

    Nigeria yamkamata mjumbe wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu

    Oct 16, 2016 11:10

    Vikosi vya usalama Nigeria vimemkamata mjumbe wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo.

  • Wapinzani Nigeria wataka marekebisho ya Katiba

    Wapinzani Nigeria wataka marekebisho ya Katiba

    Oct 15, 2016 23:09

    Vyama vya upinzani nchini Nigeria vimetaka kufanyike mabadiliko ya sheria za chaguzi za miji katika katiba ya nchi hiyo.

  • Kupigwa marufuku shughuli za harakati ya Kiislamu ya Nigeria

    Kupigwa marufuku shughuli za harakati ya Kiislamu ya Nigeria

    Oct 13, 2016 08:40

    Viongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wamelaani uamuzi uliopitishwa na Gavana wa jimbo la Kaduna Nasir Ahmed el-Rufai wa kupiga marufuku shughuli za harakati hiyo.

  • Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan

    Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan

    Oct 13, 2016 01:10

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wamejumuika kwa ajili ya maombolezo ya Ashura, katika miji ya Kaduna na Funtua nchini Nigeria hapo jana.

  • Waislamu 10 wauawa Nigeria katika kumbukumbu ya Ashura

    Waislamu 10 wauawa Nigeria katika kumbukumbu ya Ashura

    Oct 12, 2016 12:29

    Watu wasiopungua 10 wameuawa leo katika mapigano yaliyotokea baina ya jeshi la Nigeria na Waislamu waliokuwa katika maombolezo na kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali katika jimbo la Katsina huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Jeshi la Nigeria lawazingira Waislamu wa madehebu ya Shia katika maombolezo ya Imam Hussein AS

    Jeshi la Nigeria lawazingira Waislamu wa madehebu ya Shia katika maombolezo ya Imam Hussein AS

    Oct 12, 2016 00:54

    Jeshi la Nigeria limewazingria Waislamu wa madheebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika msikitini katika hafla ya maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.

  • Ujerumani yazidi kujikita kijeshi nchini Niger

    Ujerumani yazidi kujikita kijeshi nchini Niger

    Oct 08, 2016 00:34

    Ujerumani imeimarisha kuwepo kwake kijeshi nchini Niger kwa kuanzisha kituo cha jeshi la anga katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey.

  • Harakati ya Kiislamu yapigwa marufuku Kaduna, Nigeria

    Harakati ya Kiislamu yapigwa marufuku Kaduna, Nigeria

    Oct 08, 2016 03:18

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna huku Waislamu wakiendelea kukandamizwa nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS