Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Wanachama 9 wa  Boko Haram wauawa na jeshi la Nigeria

    Wanachama 9 wa Boko Haram wauawa na jeshi la Nigeria

    Sep 30, 2016 09:49

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewauwa wanachama 9 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika mapigano yaliyojiri kati ya pande mbili kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria

    UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria

    Sep 29, 2016 10:24

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, maelfu ya watoto wadogo wapo katika hatari ya kupoteza maisha katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, kutokana na njaa na utapiamlo 'uliosababishwa' na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

  • Kutolewa muhula na Waislamu wa Nigeria kwa serikali wa kumwachia huru Sheikh Zakzaky

    Kutolewa muhula na Waislamu wa Nigeria kwa serikali wa kumwachia huru Sheikh Zakzaky

    Sep 29, 2016 01:06

    Waislamu wa Nigeria wameipa serikali muhula wa wiki moja kuhakikisha inamwachia huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

  • Waislamu wa Nigeria waipa muhula serikali kumuachilia huru Sheikh Zakzaky

    Waislamu wa Nigeria waipa muhula serikali kumuachilia huru Sheikh Zakzaky

    Sep 27, 2016 11:08

    Waislamu nchini Nigeria wameipa serikali ya nchi hiyo muhula wa wiki moja kuhakikisha inamuachilia huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu.

  • Walipiza Kisasi Niger Delta watangaza kuhujumu kituo cha mafuta

    Walipiza Kisasi Niger Delta watangaza kuhujumu kituo cha mafuta

    Sep 25, 2016 04:28

    Kundi la wanamgambo wa Nigeria wanaojiita Niger Delta Avengers yaani Walipiza Kisasi wa Niger Delta wametangaza kutekeleza hujuma ya kwanza dhidi ya kituo cha uzalishaji mafuta kusini mwa nchi hiyo kwa mara ya kwanza tangu watangaze kusitisha hujuma mwezi Agosti.

  • Kiongozi wa kundi la Niger Delta atiwa mbaroni Nigeria

    Kiongozi wa kundi la Niger Delta atiwa mbaroni Nigeria

    Sep 25, 2016 00:47

    Kamanda wa kikosi cha baharini nchini Nigeria ametangaza kuwa kiongozi wa kundi la waasi la Niger Delta, kusini mwa nchi hiyo ametiwa nguvuni.

  • Majeshi ya Niger, Chad yaua magaidi 38 wa Boko Haram

    Majeshi ya Niger, Chad yaua magaidi 38 wa Boko Haram

    Sep 17, 2016 10:31

    Majeshi ya Niger na Chad yameua magaidi 38 wa kundi la kitakfiri la Boko Haram katika miji miwili ya mpakani kusini mashariki mwa Niger mapema wiki hii.

  • Jeshi la Nigeria lawakamata wanamgambo wa Avengers

    Jeshi la Nigeria lawakamata wanamgambo wa Avengers

    Sep 07, 2016 23:21

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwakamata wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la Niger Delta Avengers (NDA) yaani Walipizaji Kisasi wa Niger Delta.

  • Asasi zisizo za kiserikali zaonya juu ya kutokea maafa ya kibinadamu Nigeria

    Asasi zisizo za kiserikali zaonya juu ya kutokea maafa ya kibinadamu Nigeria

    Sep 05, 2016 09:35

    Asasi zisizo za kiraia zimetahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea maafa ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Wanajeshi Nigeria wanawauzia silaha magaidi wa Boko Haram

    Wanajeshi Nigeria wanawauzia silaha magaidi wa Boko Haram

    Sep 04, 2016 09:23

    Imebainika kuwa baadhi ya wanajeshi fisadi nchini Nigeria wanawauzia silaha magaidi wa kundi la kitakfiri la Boko Haram.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS