-
Baraza la Fatwa la Oman lasisitiza: Haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 03, 2018 00:31Baraza la Fatwa la Oman limesisitiza kuwa haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Baraza hilo limetoa sisitizo hilo likiwa ni jibu na radiamali kwa safari iliyofanywa hivi karibuni na Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu huko nchini Oman.
-
Siasa zisizo na mantiki za Oman, Muscat yafuata mkumbo na kusombwa na njama ya "Muamala wa Karne"
Nov 02, 2018 02:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas huko Ramallah katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
Tume ya maulama Saudia: Kufanya uhusiano na Israel ni kuyafanyia hiyana matukufu ya Palestina
Oct 30, 2018 11:09Kamati ya maulama nchini Saudi Arabia imetangaza kwamba, kufanya uhusiano mwema na utawala haramu wa Kizayuni kwa aina yoyote ile, ni kuyafanya hiyana kubwa matukufu ya Palestina.
-
Majeshi ya Iran, Oman kushirikiana katika setka za tiba
Jul 28, 2018 09:23Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran litashirikiana na Jeshi la Oman katika sekta ya tiba katika fremu ya ushirikiano wa kiulinzi wa nchi hizi mbili jinrani.
-
Iran na Oman zazidi kuimarisha ushirikiano wao wa baharini
Jun 27, 2018 03:29Kikao cha 17 cha kamati ya pamoja ya uchumi baina ya Iran na Oman kimehimiza kuimarishwa ushirikiano wa nchi mbili kupitia bandari ya Chabahar katika mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.
-
Oman yasema haiwezi kuvumilia tena chokochoko za UAE
Jun 08, 2018 20:53Migogoro inazidi kutokota katika Ghuba ya Uajemi baada ya Oman kuuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa haiwezi kuvumilia tena wizi wa turathi zake za kitaifia na haki za uvumbuzi.
-
Kimbunga kikali chaua watu 3 Oman, zaidi ya 7 Yemen
May 26, 2018 10:53Watu watatu wamepoteza maisha nchini Oman kufuatia kimbunga kikali ambacho kinaendelea kukumba pwani ya kusini mwa nchi hiyo eneo la Salalah.
-
Uhusiano wa kijeshi wa Iran na Oman wazidi kuimarika
May 05, 2018 03:24Kikao cha 14 cha Kamati ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kijeshi na Kiulinzi wa Oman na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimeanza leo hapa mjini Tehran.
-
Oman yahimiza kuungwa mkono haki za wananchi wa Palestina
Mar 28, 2018 11:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman ameyahimiza mataifa ya dunia kuunga mkono haki za wananchi wa Palestina na mapambano yao hadi watakapopata ushindi na uhuru wao.
-
Iran na Oman zasisitizia ulazima wa kuimarishwa amani na uthabiti katika eneo
Mar 18, 2018 13:19Rais Hassan Rouhani amesisitiza juu ya kuimarishwa na kustawishwa zaidi uhusiano uliopo kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman.