Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Pigo la kihistoria kwa Marekani katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika mwaka wa kwanza wa uamuzi wa Trump dhidi ya Quds

    Pigo la kihistoria kwa Marekani katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika mwaka wa kwanza wa uamuzi wa Trump dhidi ya Quds

    Dec 07, 2018 20:52

    Muswada uliokuwa umependekezwa na Marekani dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa haukupasishwa na kumfanya Nikki Haley, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ashuhudie pigo la kihistoria dhidi ya nchi yake katika siku zake hizi za mwisho za majukumu yake katika umoja huo.

  • Makundi ya Muqawama Palestina: Marekani, Israel zimepata pigo kubwa UN

    Makundi ya Muqawama Palestina: Marekani, Israel zimepata pigo kubwa UN

    Dec 07, 2018 11:07

    Makundi ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina ya Hamas na Jihadu Islami yamesema kupigwa mweleka katika Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa muswada wa kuilaani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na kuitaja kama kundi la kigaidi ni pigo kubwa kwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Umuhimu wa mkutano wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni

    Umuhimu wa mkutano wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni

    Dec 06, 2018 02:39

    Mkutano wa 92 wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni umefanyika katika makao makuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mjini Cairo Misri na kushirikishwa wawakilishi kutoka nchi za Kiarabu na wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.

  • Hamas yaiomba Afrika Kusini kusadia mapambano ya ukombozi ya Wapalestina

    Hamas yaiomba Afrika Kusini kusadia mapambano ya ukombozi ya Wapalestina

    Dec 04, 2018 11:15

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeiomba Afrika Kusini izidishe uungaji mkono na misaada yake kwa taifa la Palestina katika mapambano yake ya ukombozi dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • Jeshi la Israel laua na kuwateka nyara vijana wa Palestina

    Jeshi la Israel laua na kuwateka nyara vijana wa Palestina

    Dec 04, 2018 11:07

    Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemfyatulia risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 22, katika hujuma ya leo asubuhi katika mji wa Tulkarem, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Maazimio 15 dhidi ya Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi cha wiki mbili

    Maazimio 15 dhidi ya Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi cha wiki mbili

    Dec 02, 2018 04:07

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo Novemba 30 lilipitisha maazimio 6 dhidi ya utawala wa Israel kwa lengo la kuunga mkono Palestine.

  • Kufanyika

    Kufanyika "Maandamano ya Kurejea" Gaza kwa anuani ya "Mshikamano na Wananchi wa Palestina"

    Dec 01, 2018 04:48

    Eneo la Ukanda wa Gaza limeshuhudia Ijumaa ya 36 ya Maandamano ya Haki ya Kurejea katika maeneo ya mpakani mwa Ukanda huo kwa anuani ya "Ijumaa ya Mshikamano wa Kimataifa na Wananchi wa Palestina."

  • HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai na uhaini

    HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai na uhaini

    Dec 01, 2018 04:42

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni jinai.

  • Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN: Wapalestina wanaendelea kuuawa, kuteseka

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN: Wapalestina wanaendelea kuuawa, kuteseka

    Nov 29, 2018 08:44

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mauaji na mateso ya Wapalestina sasa vimekuwa jambo la kawaida la kila siku lakini inasikitisha kuona kuwa, baadhi ya vyombo vya habari vimepuuza suala hilo.

  • Umoja wa Mataifa wapinga ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina

    Umoja wa Mataifa wapinga ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina

    Nov 29, 2018 04:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizokaliwa kwa mabavu 1967 na kusema kuwa, hii leo mioyo yetu imezidiwa na machungu na maumivu kutokana na masaibu na mashaka ya wananchi wa ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS