Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Bunge la Ureno launga mkono 'Mshikamano na Taifa la Palestina'

    Bunge la Ureno launga mkono 'Mshikamano na Taifa la Palestina'

    May 17, 2016 03:22

    Bunge la Ureno limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura rasimu ya mpango wa kuonesha mshikamano na taifa la Palestina na kulaani ukiukaji wa haki zao za msingi unaofanywa katika ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Wapalestina  waandamana Siku ya Nakba, wasisitiza mapambano dhidi ya Israel

    Wapalestina waandamana Siku ya Nakba, wasisitiza mapambano dhidi ya Israel

    May 15, 2016 23:05

    Wapalestina wameandamana Jumapili katika maeneo mbalimbali ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 68 tangu ulipoundwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.

  • Hizbullah itaendelea kuunga mkono taifa la Palestina katika mapambano dhidi ya Israel

    Hizbullah itaendelea kuunga mkono taifa la Palestina katika mapambano dhidi ya Israel

    May 15, 2016 09:43

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu kuendelea kuunga mkono mapambano ya taifa linalodhulumiwa la Palestina katika makabiliano yake na utawala ghasibu wa Israel unaokalia Quds Tukufu kwa mabavu.

  • Wazayuni washambulia Wapalestina Ghaza, Ukingo wa Magharibi

    Wazayuni washambulia Wapalestina Ghaza, Ukingo wa Magharibi

    May 14, 2016 09:55

    Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana walowezi wa Kizayuni wenye chuki za kidini na kitaifa, wamefanya mashambulizi katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya Wapalestina.

  • Maandamano ya Wapalestina kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Maandamano ya Wapalestina kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu Palestina

    May 13, 2016 23:21

    Leo Jumamosi tarehe 14 Mei, inasadifiana na kuwadia mwaka wa 68 tangu kuvamiwa na kuanza kukaliwa kwa mabavu Palestina; na tayari migomo na maandamano yameanza kufanyika katika pande zote mbili za ardhi za Palestina, kuanzia zile zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 na kupewa jina la Israel na zile zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1967 za Ukanda wa Gaza na Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Kasisi mmoja Mzayuni akumbwa na kashfa ya fedha, maadili

    Kasisi mmoja Mzayuni akumbwa na kashfa ya fedha, maadili

    May 12, 2016 23:40

    Kasisi mmoja Mzayuni ambaye ni mtu wa karibu sana na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekumbwa na kashfa za fedha na maadili.

  • Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina

    Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina

    May 10, 2016 23:47

    Gazeti moja la kila siku la nchini Tanzania limeandika makala changanuzi kuhusu historia ya uungaji mkono wa Tanzania kwa taifa madhlumu la Palestina.

  • Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani

    Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani

    May 07, 2016 03:41

    Meya wa zamani wa London nchini Uingereza amesema kuanzishwa utawala haramu wa Israel ni janga kubwa la kihistroria ambalo taathira zake hasi zinaendelea kushuhudiwa.

  • Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali

    Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali

    May 06, 2016 23:50

    Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mashambulizi yake mapya katika Ukanda wa Gaza huku uvamizi huo mpya wa Tel Aviv katika eneo hilo ukiingia siku yake ya nne Jumamosi.

  • Israel yazuia wakaguzi wa UN kuchunguza mateso katika jela zake

    Israel yazuia wakaguzi wa UN kuchunguza mateso katika jela zake

    May 05, 2016 04:10

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umekaidi matakwa ya Umoja wa Mataifa ya kuchunguzwa mateso wanayoyapata Wapalestina katika jela za utawala huo dhalimu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS