Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • "Mapinduzi", "Jamhuri ya Kiislamu" na "Utawala wa Faqihi" ni turathi tatu za kihistoria za Imam Khomeini (ra)

    Jun 02, 2016 23:26

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "Mapinduzi ya Kiislamu", "Jamhuri ya Kiislamu" na "Uongozi na Utawala wa Faqihi" ni kumbukumbu na turathi tatu za kihistoria za Imam Khomeini (ra) kwa taifa la Iran.

  • Rouhani: Saudia inatumikia maslahi ya Israel kwa kuwazuia Mahujaji Wairani

    Rouhani: Saudia inatumikia maslahi ya Israel kwa kuwazuia Mahujaji Wairani

    May 30, 2016 23:12

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais Rouhani ataka waungaji mkono magaidi duniani watajwe

    Rais Rouhani ataka waungaji mkono magaidi duniani watajwe

    May 28, 2016 23:21

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa mwito wa kufanyika jitihada za pamoja za kupambana na ugaidi kote duniani huku akisisitiza kuwa wanaotoa uungaji mkono wa siri kwa magaidi wanapaswa kutajwa ili kusitisha misaada yao kwa magaidi hao.

  • Rais wa Croatia alakiwa rasmi na Rais Rouhani

    Rais wa Croatia alakiwa rasmi na Rais Rouhani

    May 18, 2016 03:20

    Rais Hassan Rouhani amemlaki rasmi Rais Kolinda Grabar-Kitarović wa Croatia katika jengo la kihistoria na kiutamaduni la Ikulu ya Saad Abad mjini Tehran.

  • Sisitizo la Rouhani kuhusu kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia na pande zote

    Sisitizo la Rouhani kuhusu kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia na pande zote

    May 16, 2016 08:22

    Hassan Rouhani, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumapili alikutana na mabalozi na wawakilishi wa Iran katika nchi za kigeni katika kongamano la "Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na Uchumi wa Muqawama; Fursa na Uwezo"

  • Rais Rouhani: JCPOA ni sehemu tu ya sera za nje za serikali katika kustawisha uchumi

    Rais Rouhani: JCPOA ni sehemu tu ya sera za nje za serikali katika kustawisha uchumi

    May 15, 2016 23:58

    Rais Hassan Rouhani amesema makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni sehemu tu ya sera za nje za serikali ya Iran katika kujenga maelewano chanya na ulimwengu na kuupa msukumo ustawi wa uchumi.

  • Iran kuishtaki Marekani Mahakama ya Kimataifa ya ICJ kwa uporaji mali

    Iran kuishtaki Marekani Mahakama ya Kimataifa ya ICJ kwa uporaji mali

    May 10, 2016 10:34

    Rais Hassan Rouhani amesema Iran hivi karibuni itawasilisha lalamiko dhidi ya Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ, huko The Hague, kufuatia uamuzi wa mahakama moja ya Markeani kuchukua kwa nguvu dola bilioni mbili za Iran zilizoko nchini humo.

  • Rouhani: Iran inafadhilisha kuwa na uhusiano mzuri na nchi za Afrika

    Rouhani: Iran inafadhilisha kuwa na uhusiano mzuri na nchi za Afrika

    May 03, 2016 23:36

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linafadhilisha kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Afrika ikiwemo Togo.

  • Rais Rouhani: Leo Dunia ina imani na Iran na ahadi inazotoa

    Rais Rouhani: Leo Dunia ina imani na Iran na ahadi inazotoa

    May 03, 2016 11:59

    Rais Hassan Rouhani amesema leo dunia ina imani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ahadi inazotoa.

  • Iran, Korea Kusini zasaini mikataba 19 ya ushirikiano

    Iran, Korea Kusini zasaini mikataba 19 ya ushirikiano

    May 02, 2016 12:18

    Iran na Korea Kusini leo zimetiliana saini mikataba 19 ya kuimarisha uhusiano katika nyanja mbali mbali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS