Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Merkel: Russia na Waislamu wajumuishwe katika vita dhidi ya ugaidi

    Merkel: Russia na Waislamu wajumuishwe katika vita dhidi ya ugaidi

    Feb 19, 2017 04:13

    Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.

  • Russia: Hakuna chochote kinachoweza kuvuruga uhusiano wa Tehran na Moscow

    Russia: Hakuna chochote kinachoweza kuvuruga uhusiano wa Tehran na Moscow

    Feb 17, 2017 23:09

    Sergei Ryabkov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema uhusiano wa pande mbili wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hauwezi kuyumbishwa wala kuathiriwa na 'nguvu za nje' au upande wa tatu.

  • Russia yatilia mkazo kusimamishwa ujenzi wa vitongoji wa utawala wa Kizayuni

    Russia yatilia mkazo kusimamishwa ujenzi wa vitongoji wa utawala wa Kizayuni

    Feb 12, 2017 12:19

    Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametaka kusimamishwa ujenzi iwa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

  • Russia yasisitiza kutekelezwa makubaliano ya JCPOA

    Russia yasisitiza kutekelezwa makubaliano ya JCPOA

    Feb 10, 2017 11:51

    Balozi wa Russia nchini Marekani amesisitiza udharura wa kutekeleza makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya kundi la nchi 5+1 na Iran yaani JCPOA.

  • Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi

    Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi

    Feb 09, 2017 00:36

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ndoto za baadhi ya watu za kutamani kushuhudia mivutano katika msimamo wa pamoja wa Iran, Russia, Syria na Hizbullah katika vita vya ugaidi, hazitaagulika.

  • Russia yakanusha kuuliwa wanajeshi wake Syria

    Russia yakanusha kuuliwa wanajeshi wake Syria

    Feb 05, 2017 23:12

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amekanusha ripoti iliyotolewa kuhusu kuuliwa wanajeshi wake huko Syria.

  • Shamkhani: Iran imedhamiria kufuatilia ufumbuzi wa kisiasa kwa ajili ya Syria

    Shamkhani: Iran imedhamiria kufuatilia ufumbuzi wa kisiasa kwa ajili ya Syria

    Feb 05, 2017 10:43

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuhusu wasiwasi walionao viongozi wa baadhi ya nchi za eneo hili kuhusu ubunifu wa kisiasa wa pande tatu za Iran, Russia na Uturuki kwamba wasiwasi huu unatokana na kudhoofika makundi ya kigaidi.

  • Russia: Tutatoa msaada wa kijeshi kwa Cameroon kukabiliana na Boko Haram

    Russia: Tutatoa msaada wa kijeshi kwa Cameroon kukabiliana na Boko Haram

    Jan 29, 2017 00:22

    Serikali ya Russia imesisitizia udharura wa kuungwa mkono kijeshi juhudi za serikali ya Cameroon kwa ajili ya kupambana na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini humo.

  • Serikali ya Russia yaafikiana na Trump kuhusu NATO

    Serikali ya Russia yaafikiana na Trump kuhusu NATO

    Jan 16, 2017 23:33

    Ikulu ya Russia (Kremlin) imetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo inaafiki mtazamo wa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwamba Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umepitwa na wakati.

  • Russia: Wamagharibi wanakwamisha mapambano dhidi ya ugaidi wa silaha za kemikali

    Russia: Wamagharibi wanakwamisha mapambano dhidi ya ugaidi wa silaha za kemikali

    Jan 14, 2017 23:08

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa baadhi ya nchi za Magharibi zinakwamisha mapambano halisi dhidi ya ugaidi wa silaha za kemikali kwa kuingiza masuala ya siasa katika kadhia ya utumiaji wa silaha za aina hiyo nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS