-
Russia: Kustawisha uhusiano wa kimkakati na China ni kipaumbele chetu cha kipekee
Oct 17, 2023 10:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa kustawisha uhusiano wa kimkakati na China ni kipaumbele cha kipekee kwa Moscow, na akauelezea uhusiano wa Moscow na Beijing kuwa ni kama mfano wa ushirikiano wa kiserikali kati ya madola makubwa yenye nguvu katika karne ya 21.
-
Putin: Israel imepora ardhi halali ya Wapalestina kwa kutumia jeshi
Oct 11, 2023 23:02Rais Vladimir Putin wa Russia amesema utawala haramu wa Israel umenyakua sehemu kubwa ya ardhi ya halali ya Wapalestina kwa kutumia vikosi vya jeshi la utawala huo wa Kizayuni.
-
NYT: Ukuaji wa uchumi wa Russia utaupiku wa US na EU
Oct 11, 2023 23:02Gazeti la New York Times limeripoti kuwa, uchumi wa Russia ni imara na madhubuti kinyume na matarajio ya serikali za Magharibi, ambazo zilitazamia uchumi huo utalemazwa kikamilifu na vikwazo vyao dhidi ya Moscow.
-
Msimamo tofauti wa Russia na China kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa
Oct 11, 2023 23:01Licha ya uungaji mkono kamili wa Marekani na washirika wake wa magharibi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya operesheni ya Kimbunga ya al-Aqswa na hata Washington kutuma misaada ya kijeshi na zana za kivita kwa utawala huo ghasibu, lakini Russia na China, yakiwa madola mawili hasimu na washindani wa Magharibi, yamechukua msimamo tofauti katika uwanja huu.
-
Vladimir Putin: Wakati umefika wa kutangazwa nchi huru ya Palestina
Oct 10, 2023 23:27Rais Vladimir Putin wa Russia amezungumzia kushindwa siasa za kibeberu za rais wa Marekani, Joe Biden za kuingilia masuala ya eneo la Asia Magharibi na kutilia mkazo wajibu wa kutekelezwa maamizio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayosisitizia kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Katibu Mkuu wa Arab League aelekea Russia kwa mazungumzo
Oct 08, 2023 23:04Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amefanya ziara mjini Moscow Russia kwa ajili ya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuhusu masuala mbalimbali.
-
Russia yaharibu mfumo wa M777 wa Marekani huko Ukraine.
Oct 08, 2023 04:47Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuharibu mfumo wa M777 wa Marekani na wa Crab katika operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine.
-
Misri na Russia zasisitiza kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Oct 08, 2023 03:08Katika mazungumzo ya simu, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Russia wamesisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Putin: Hakuna adui atakayesalimika katika shambulizi la kisasi la nyuklia
Oct 05, 2023 23:16Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuwa, hakuna adui atakayesalimika iwapo Russia itatekeleza shambulizi la kulipiza kisasi kwa kutumia silaha za nyuklia.
-
Rais Putin: Uhusiano wa Russia na Iran ni 'mzuri mno'
Oct 05, 2023 09:40Rais Vladimir Putin wa Russia amesema uhusiano wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mzuri na wa kuridhisha.