-
Jeshi la Yemen laangamiza meli ya mizinga ya Saudia, Riyadh yakiri
Jan 31, 2017 01:09Jeshi la Yemen Jumatatu ya jana liliangamiza meli ya mizinga ya Saudia na kusababisha makumi ya askari wa nchi hiyo vamizi kuangamizwa na wengine kujeruhiwa.
-
UN: Saudi Arabia imetenda jinai kubwa za kivita nchini Yemen
Jan 31, 2017 00:40Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, Saudi Arabia imefanya jinai za kivita katika mashambulizi yake ya kijeshi nchini Yemen.
-
Mkahawa wa kwanza wa muziki na mchanganyiko wa kike kiume wafunguliwa Riyadh, Saudia
Jan 29, 2017 04:23Mkahawa wa kwanza wa muziki na mchanganyiko wa wanawake na wanaume umefunguliwa katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh na viongozi wa utawala wa Aal Saud ambao wenyewe wanajinasibu kuwa watumishi wa haram mbili tukufu za Makka na Madina.
-
Waziri wa Fedha wa Saudia akiri nchi kukabiliwa na mgogoro wa kifedha
Jan 23, 2017 04:23Waziri wa Fedha wa Saudi Arabia amekiri kuwa nchi hiyo itaendelea kuathiriwa na mgogoro wa kifedha hadi mwaka 2020.
-
Kuongezeka wimbi la umasiki nchini Saudia
Jan 22, 2017 10:23Philip Alston, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya ongezeko la umasikini na masuala ya haki za wanawake duniani amesema kuwa, kinyume na inavyodhaniwa, nchini Saudia kuna maeneo mengi ambayo wakazi wake ni masikini wa sana.
-
Saudia yaendelea kuua raia wa Yemen kwa mabomu ya vishada
Jan 21, 2017 00:48Raia wengine watatu wa Yemen wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulio mapya ya anga yaliyofanywa na jeshi la Saudi Arabia katika mkoa wa Sanaá mji mkuu wa Yemen.
-
Saudi Arabia yaendelea kuwashambulia raia wa Yemen
Jan 20, 2017 00:54Ndege za kivita za Saudia zimeendelea kufanya mashambulizi katika maeneo mbalimbali ya Yemen ambapo habari za hivi karibuni zinasema kuwa, ndege hizo zimefanya mashambulizi katika mikoa ya Sana'a, Taiz, Saada, Lahij na Hudaidah.
-
Vibaraka 35 wa Saudia waangamizwa nchini Yemen
Jan 18, 2017 04:20Jeshi la Yemen na harakati za kujitolea za wananchi zimezuia shambulizi lililokuwa limepangwa kufanywa na vibaraka wa Saudia mjini Sana'a, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Iran kufuatilia kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara katika mazungumzo na Saudia
Jan 15, 2017 00:20Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara wa Iran amesema, katika vikao kadhaa vya ndani kuhusiana na mazungumzo yajayo na Saudi Arabia juu ya ajenda kuu ya amali za Hija, imeamuliwa kufuatilia masuala ya usalama, suhula na kadhia muhimu ya ufuatiliaji wa kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara wa Kiirani waliofariki katika Msikiti Mtukufu wa Makka na eneo la Mina.
-
Saudia yaendeleza mashambulizi Yemen na kuua watu saba wa familia moja
Jan 12, 2017 04:03Raia wa Yemen wasiopungua saba wameuawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya ndege za kivita za jeshi la Saudi Arabia nchini humo.