-
Jeshi la Yemen lashambulia kwa mvua ya makombora kambi kadhaa za jeshi la Saudua
Nov 17, 2016 01:07Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, imetoa jibu kali kwa kushambulia asubuhi ya leo kambi za askari wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudia, huko katika mji wa Najran na Jizan, kusini magharibi mwa Saudia.
-
Sera za kujipanua za Saudia dhidi ya maslahi ya Misri
Nov 16, 2016 03:01Ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa Utawala wa Aal Saud umezusha madai mapya ya umiliki wa ardhi za Misri na kuanzisha propaganda za kupotosha ukweli wa historia kwa ajili ya kufanikisha tamaa zake za kujipanua.
-
Harakati za Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Nov 13, 2016 09:05Duru za kisiasa zenye mfungamano na Saudi Arabia kwa siku kadhaa sasa zimeanzisha duru mpya ya harakati za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran.
-
Amnesty yaitaka Uhispania iache kuiuzia Saudia meli za kivita
Nov 12, 2016 04:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Uhispania iache kuiuzia Saudi Arabia manowari za kijeshi na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kusitisha mauzo hayo kwa kuwa yumkini meli hizo za kivita zikatumika dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Iran yaikosoa Saudia kwa kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu
Nov 09, 2016 04:31Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mwenendo wa utawala wa Saudi Arabia kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu kwa maslahi yake ya kisiasa ni hatari na utakaowatumbukia nyongo karibuni hivi.
-
Mahakama ya Misri yakataa rufaa ya serikali kuhusu makubaliano na Saudia juu ya visiwa
Nov 08, 2016 12:12Mahakama Kuu ya Kiidara ya Misri imekataa rufaa iliyokatwa na serikali ya kupinga hukumu iliyotolewa hapo awali ya kubatilisha makubaliano yaliyofikiwa baina ya serikali hiyo na Saudi Arabia kuhusu umiliki wa visiwa viwili vilivyoko katika Bahari Nyekundu.
-
Saudia yasimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta Misri
Nov 08, 2016 04:05Katika kile kinachoonekana ni kutokota mzozo kati ya Riyadh na Cairo juu ya visiwa vya kiistratajia vya Tiran na Sanafir, Misri imetangaza rasmi kuwa, Saudi Arabia imesimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika
Nov 08, 2016 03:48Gazeti la Washington Post la Marekani limeandika makala kuhusu kuenea Uwahhabi nchini Nigeria na kuongeza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unaaunga mkono viongozi wa Mawahhabi ili waweze kueneza Uwahhabi nchini humo na kote barani Afrika.
-
WHO: Maelfu ya watu wameuawa nchini Yemen
Nov 07, 2016 11:20Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maelfu ya watu wameuawa nchini Yemen katika mashambulizi ya Saudi Arabia na washirika wake ambayo yanaingia mwezi wa 20 sasa.
-
Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini
Nov 04, 2016 12:20Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Nigeria wamekosoa vikali ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na vyombo vya usalama nchini humo na kusisitiza kuwa, dhulma hizo zimetokana na fikra za Kiwahabi.