-
Mivutano katika uhusiano wa Misri na Saudia
Oct 12, 2016 12:00Inavyoonesha, mgogoro wa Syria utaifanya fungate ya ndoa ya uhusiano wa Misri na Saudi Arabia imalizike kabla ya muda uliotarajiwa.
-
Saudia ilishambulia kwa makusudi kikao cha maombolezo mjini Sanaa
Oct 12, 2016 00:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia ilishambulia kwa makusudi kikao cha khitma na maombolezo mjini Sanaa ambapo mamia ya watu waliuawa na kujeruhiwa siku ya Jumamosi.
-
Iran kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma ya kinyama ya Saudia nchini Yemen
Oct 11, 2016 23:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuwapokea na kuwatibu waliojeruhiwa hivi karibuni katika hujuma ya kikatili ya ndege za kivita za Saudia dhidi ya watu waliokuwa wamekusanyika katika mazishi nchini Yemen.
-
Ripoti: Mrithi wa ufalme wa Saudia na kaimu wake wamejitosa kwenye vita vya kuwania madaraka
Oct 11, 2016 04:35Jarida mashuhuri la kisiasa la Ghuba Mpya limeripoti kuwa hivi sasa vita vya kuwania madaraka vimeanza baina ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na kaimu wake.
-
Vikosi vya kujitolea vya Wayemeni vyajibu jinai za Saudia
Oct 09, 2016 11:22Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen vimefanya oparesheni kusini mwa Saudi Arabia na kuuwa na kuwajeruhi wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo.
-
US kusitisha msaada wa kijeshi kwa Saudia dhidi ya Yemen?
Oct 09, 2016 04:13Kufuatia malalamiko na makelele ya jamii ya kimataifa, Marekani imesema inaangalia upya iwapo itaendelea kuipa Saudi Arabia msaada wa kijeshi katika hujuma zake za anga dhidi ya Yemen au la.
-
Iran yailaani Saudia kwa kuua raia nchini Yemen
Oct 09, 2016 01:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya ndege za kivita za Saudia kushambulia mazishi katika mji mkuu wa Yemen San'aa ambapo raia karibu 160 wameuawa na wengine wasiopungua 500 kujeruhiwa.
-
SAUTI, Sababu ya Saudia kushambulia ovyo maeneo ya raia yabainika kuwa ni baada ya kushindwa kwake vitani
Oct 08, 2016 13:57Walimwengu wameendelea kulaani kimya cha jamii ya kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa juu ya jinai za kutisha za Saudi Arabia nchini Yemen, huku wahanga wakubwa wa jinai hizo wakiwa ni raia wa kawaida.
-
Watoto ni waathirika wa hujuma ya Saudia na waitifaki wake nchini Yemen
Oct 06, 2016 04:06Hujuma za ndege za kivita za Saudi Arabia na waitifake wake Yemen, mbali na kuwaua maelfu ya raia wa nchi hiyo na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola kwa miundo mbinu ya nchi hiyo, pia zimesababisha zaidi ya watoto milioni mbili Wayemen kukosa masomo.
-
Jeshi la Iran lazionya meli za Saudia zisikaribie maji yake
Oct 06, 2016 01:11Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC limetoa onyo kali kwa manowari za Saudi Arabia zinazofanya mazoezi ya kijeshi katika Ghuba ya Uajemi, Ghuba ya Oman na Lango Bahari la Hormuz, dhidi ya kukaribia maji ya nchi hii.