-
Saudia: Hatutachunguza jinai tulizofanya Yemen
Oct 06, 2016 01:10Kwa mara nyingine tena Saudi Arabia imepinga wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo nchini Yemen.
-
Saudia yapinga kuundwa kamati ya kutafuta ukweli kuhusu jinai ilizofanya Yemen
Oct 04, 2016 11:35Utawala wa Saudi Arabia umepinga wito wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo nchini Yemen.
-
Ubalozi wa Saudia Morocco wavunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu
Oct 03, 2016 23:28Ubalozi wa Saudia Arabia nchini Morocco umekosolewa vikali na Waislamu baada ya kuenea picha za kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika ubalozi huo.
-
Saudia yaacha kutumia kalenda ya Kiislamu na kuanza kutumia ya Kikristo
Oct 03, 2016 11:40Saudi Arabia imetangaza kuacha kutumia kalenda ya Kiislamu ya Hijria Qamaria na kuanza kutumia kalenda ya Kikristo katika kazi za kiserikali kutokana na kile ilichosema ni sehemu ya kubana matumizi.
-
UN yapinga kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za Saudia huko Yemen
Oct 01, 2016 23:17Umoja wa Mataifa umepinga suala la kufanyika uchunguzi kuhusu jinai na uhalifu unaofanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen.
-
Wamarekani waanza kuisakama Saudia juu ya shambulio la Septemba 11
Oct 01, 2016 04:23Mjane wa Kimarekani ambaye mumewe aliuawa katika shambulizi la Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani ameipeleka mahakamani serikali ya Saudi Arabia kwa kuhusika na hujuma hiyo, sambamba na kutaka kulipwa fidia kutokana na mauaji ya mumewe.
-
Saudia inaunga mkono wahalifu mashariki mwa Iran
Sep 30, 2016 03:39Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran Abdul Ridha Rahman Fadhli amesema Saudi Arabia inaunga mkono wahalifu katika eneo la mashariki mwa nchi.
-
Saudia yaendeleza mashambulio ya anga dhidi ya Yemen; raia kadhaa wauawa
Sep 30, 2016 00:52Mashambulio ya anga ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika maeneo kadhaa ya Yemen yameua na kujeruhi raia kadhaa wa nchi hiyo.
-
Rial ya Saudia yashuka thamani baada ya kubatilishwa veto ya Rais Obama
Sep 29, 2016 10:54Rial ya Saudia imeshuka thamani hii leo baada ya kongresi ya Marekani kupasisha muswada unaoitaka serikali ya Riyadh kuzilipa fidia familia za wahanga wa mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani.
-
Iran: Madai kuwa Tehran inaipa silaha Ansarullah ya Yemen haya msingi
Sep 29, 2016 10:16Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai yaliyotolewa na Saudi Arabia kuwa Tehran inalifadhili kundi la wanaharakati wa Ansarullah wa Yemen.