Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

sauti

  • Uganda yaanzisha kampeni mpya ya kupambana na magonjwa hatari + SAUTI

    Uganda yaanzisha kampeni mpya ya kupambana na magonjwa hatari + SAUTI

    Jan 19, 2019 14:48

    Serikali ya Uganda kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeanzisha upya kampeni ya kupambana na magonjwa kadhaa hatari ambayo yamezuka tena nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi...

  • Vijana wa NRM wazozana tena na Polisi nchini Uganda + Sauti

    Vijana wa NRM wazozana tena na Polisi nchini Uganda + Sauti

    Jan 14, 2019 23:11

    Kwa mara nyingine tena, vijana wa chama tawala cha NRM nchini Uganda wamezozana na polisi wa nchi hiyo wakipinga ubeberu wa mkoloni Muingereza. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail...

  • Mufti wa Tanzania ataka mahujaji wa nchi hiyo watumie Air Tanzania + Sauti

    Mufti wa Tanzania ataka mahujaji wa nchi hiyo watumie Air Tanzania + Sauti

    Jan 05, 2019 02:50

    Viongozi wanaosimamia misafara ya Hija nchini Tanzania wametakiwa kutumia ndege za Shirika la Ndege la Air Tanzania katika msimu wa Hija kama njia ya kuunga mkono jitihada za rais wa nchi hiyo za kuliletea maendeleo Taifa. Ammari Dachi na ripoti kamili kutoka Dar es Salaam.

  • Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Jan 05, 2019 02:47

    Wiki hii kama ilivyojiri kwa wiki zilizopita, kumekuwa na matukio mengi yanayohusiana na Waislamu wa Afrika Mashariki. Harith Subeit amekusanya baadhi ya matukio hayo na kutuandalia ripoti ifuatayo...

  • Viongozi wa kidini wataka kuheshimiwa matokeo ya kura DRC + Sauti

    Viongozi wa kidini wataka kuheshimiwa matokeo ya kura DRC + Sauti

    Jan 05, 2019 02:44

    Viongozi wa kidini wakiwemo wa Kanisa Katoliki huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo kuheshimu matokeo ya kura na kumtangaza mshindi haraka iwezekanavyo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...

  • Zoezi la kuhesabu kura laendelea DRC, wapinzani walalamika + Sauti

    Zoezi la kuhesabu kura laendelea DRC, wapinzani walalamika + Sauti

    Jan 03, 2019 04:27

    Huku zoezi la kuhesabu kura likiendelea katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vyama vya upinzani vimekosoa mchakato huo baada ya kuripotiwa habari za kutupwa karatasi za kupigia kura za mgombea wa upinzani katika baadhi ya maeneo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...

  • Kamati ya amani Tanzania inayojumuisha Waislamu na Wakristo yaadhimisha mazazi ya Nabii Isa AS + Sauti

    Kamati ya amani Tanzania inayojumuisha Waislamu na Wakristo yaadhimisha mazazi ya Nabii Isa AS + Sauti

    Dec 29, 2018 14:57

    Kamati ya amani nchini Tanzania ambayo inajumuisha viongozi wa Kiislamu na Kikristo wa madhehebu mbalimbali, imefanya sherehe maalumu za kuadhimisha mazazi ya Nabii Isa AS na mwaka mpya wa Milaadia. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu Ammar Dachi...

  • Wapinzani kongo DR waendelea kuilalamikia tume ya uchaguzi CENI + Sauti

    Wapinzani kongo DR waendelea kuilalamikia tume ya uchaguzi CENI + Sauti

    Dec 27, 2018 23:19

    Vyama vya upinzani vya Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo vimeendelea kukosoa hatua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo CENI ya kuakhirisha uchaguzi katika miji mitatu nchini humo. Uchaguzi Mkuu wa Rais na Bunge unatarajiwa kufanyika Jumapili hii DRC, lakini hautofanyika katika miji ya Yumbi, Beni na Butembo hadi tarehe 30 Machi mwakani. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...

  • Jamii ya kimataifa yahofishwa na uwezekano wa kutokea machafuko wakati wa uchaguzi DRC + Sauti

    Jamii ya kimataifa yahofishwa na uwezekano wa kutokea machafuko wakati wa uchaguzi DRC + Sauti

    Dec 24, 2018 23:59

    Taasisi muhimu za ndani na nje ya Afrika zimeelezea wasiwasi wao kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na zinafikiria njia za kukabiliana na hatari hiyo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...

  • Tanzania yawataka wanahabari kutekeleza vyema majukumu yao + Sauti, Video

    Tanzania yawataka wanahabari kutekeleza vyema majukumu yao + Sauti, Video

    Dec 24, 2018 03:31

    Dk Hassan Abbas, msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania amewataka waandishi wa habari nchini humo kutambua haki na kutimiza vyema wajibu wao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS