Zoezi la kuhesabu kura laendelea DRC, wapinzani walalamika + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i50604-zoezi_la_kuhesabu_kura_laendelea_drc_wapinzani_walalamika_sauti
Huku zoezi la kuhesabu kura likiendelea katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vyama vya upinzani vimekosoa mchakato huo baada ya kuripotiwa habari za kutupwa karatasi za kupigia kura za mgombea wa upinzani katika baadhi ya maeneo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Jan 03, 2019 04:27 UTC