Wapinzani kongo DR waendelea kuilalamikia tume ya uchaguzi CENI + Sauti
Dec 27, 2018 23:19 UTC
Vyama vya upinzani vya Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo vimeendelea kukosoa hatua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo CENI ya kuakhirisha uchaguzi katika miji mitatu nchini humo. Uchaguzi Mkuu wa Rais na Bunge unatarajiwa kufanyika Jumapili hii DRC, lakini hautofanyika katika miji ya Yumbi, Beni na Butembo hadi tarehe 30 Machi mwakani. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
Tags