Viongozi wa kidini wataka kuheshimiwa matokeo ya kura DRC + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i50644-viongozi_wa_kidini_wataka_kuheshimiwa_matokeo_ya_kura_drc_sauti
Viongozi wa kidini wakiwemo wa Kanisa Katoliki huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo kuheshimu matokeo ya kura na kumtangaza mshindi haraka iwezekanavyo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jan 05, 2019 02:44 UTC