-
Mufti wa Uganda awataka Waislamu wasaidie kupatikana amani duniani + Sauti
Jun 16, 2018 01:54Mufti wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amewasihi Waislamu kote duniani wachangie kupatikana amani, lakini wakianzia kwa jamii zao. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
-
Wanamgambo wa Bemba washtakiwa CAR + Sauti
Jun 11, 2018 11:01Wahanga wa mashambulizi ya wanamgambo wa Jean Pierre Bemba huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wameamua kufungua kesi dhidi ya makamanda wa kundi hilo pamoja na Jenerali mmoja wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC. Maelezo zaidi yamo ndani ya ripoti ya mwandishi wetu Mossi Mwasi.
-
Rwanda yachukua hatua kali zaidi dhidi ya vyombo vya plastiki + Sauti
Jun 05, 2018 13:26Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mazingira, serikali ya Rwanda imepiga hatua nyingine mbele ya kukomesha matumizi ya aina yoyote ya vifaa vya plastiki kwa sababu vinahatarisha maisha ya viumbe hai.
-
Franc bilioni 17 zimeshakusanywa Burundi kwa ajili ya uchaguzi + Sauti
Jun 05, 2018 12:15Serikali ya Burundi imetangaza kiwango cha Franc bilioni 17 za nchi hiyo sawa na dola milioni 17 za Kimarekani kuwa ndizo tayari zimekusanywa katika michongo inayotolewa ndani ya nchi hiyo kugharamia uchaguzi mkuu wa 2020. Hamida Issa na maelezo zaidi...
-
Mitandao ya kijamii yalaumiwa kwa kuporomoka maadili Kenya + Sauti
Jun 03, 2018 01:11Visa vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 kunyanyaswa kijinsia nchini Kenya vimekithiri na kuipa changamoto Serikali kuushinikiza mhimili wa mahakama kuwaadhibu ipasavyo wahalifu wa uovu huo.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
May 18, 2018 13:47Kama kamawaida, wiki hii pia iliyosadifiana na kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani imesheheni matukio ya kila namna ya Kiislamu duniani ukiwemo ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Harith Subeit na baadhi ya matukio hayo...
-
Waislamu Uganda watakiwa kutumia vyema nyakati za Ramadhani + Sauti
May 18, 2018 13:44Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wamehimizwa kujiweka mbali na mambo yanayomkasirisha Mwenyezi Mungu na kutumia vizuri nyakati muhimu za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo.
-
Waislamu Zanzibar kuungana na Waislamu wengine kesho Alkhamisi katika saumu ya Ramadhani + Sauti
May 16, 2018 14:02Waislamu visiwani Zanzibar kesho Alkhamisi tarehe 17 Mei 2018 wataungana na Waislamu wengine duniani kuanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka huu wa 1439 Hijria. Harith Subeit ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
'Bara la Afrika litapata maendeleo ya haraka kwa teknolojia' + SAUTI
May 09, 2018 05:26Viongozi wa serikali, wadau na wataalamu wa sekta ya teknolojia ya mawasiliano wanasema kwamba teknolojia ikitumiwa vizuri barani Afrika inaweza kuwa chachu ya maendeleo ya haraka ya bara hilo. Kauli hiyo imetolewa mjini Kigali Rwanda unakoendelea mkutano mkubwa wa wadau wa teknolojia. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Kamati yaundwa CAR kuchunguza mauaji ya Kanisani + Sauti
May 05, 2018 06:09Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ameunda kamati ya kuchunguza mauaji ya siku ya Jumanne katika Kanisa la Fatima huko Bangui, mji mkuu wa nchi hiiyo. Mwandishi wetu Mossi Mwasi na maelezo zaidi...