Kamati yaundwa CAR kuchunguza mauaji ya Kanisani + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i44078-kamati_yaundwa_car_kuchunguza_mauaji_ya_kanisani_sauti
Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ameunda kamati ya kuchunguza mauaji ya siku ya Jumanne katika Kanisa la Fatima huko Bangui, mji mkuu wa nchi hiiyo. Mwandishi wetu Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 05, 2018 06:09 UTC