Franc bilioni 17 zimeshakusanywa Burundi kwa ajili ya uchaguzi + Sauti
Jun 05, 2018 12:15 UTC
Serikali ya Burundi imetangaza kiwango cha Franc bilioni 17 za nchi hiyo sawa na dola milioni 17 za Kimarekani kuwa ndizo tayari zimekusanywa katika michongo inayotolewa ndani ya nchi hiyo kugharamia uchaguzi mkuu wa 2020. Hamida Issa na maelezo zaidi...
Tags