Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

sauti

  • Serikali ya CAR yakata njia zote za mawasiliano ya simu + Sauti

    Serikali ya CAR yakata njia zote za mawasiliano ya simu + Sauti

    Apr 15, 2018 01:58

    Mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui umeingia katika giza totoro kufuatia serikali kukata njia zote za mawasiliano kutokana na hali mbaya ya usalama. Mwandishi wetu Mosi Mwasi ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...

  • Mkuu wa UNHCR amaliza ziara yake nchini Burundi + Sauti

    Mkuu wa UNHCR amaliza ziara yake nchini Burundi + Sauti

    Apr 13, 2018 02:16

    Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini Burundi ambapo amejadiliana na Rais Pierre Nkurunziza suala la kurejeshwa wakimbizi wa Burundi waliokimbila nchi jirani. Mwandishi wetu Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu ziara hiyo ya Filippo Grandi nchini Burundi

  • Mradi maalumu wa kuboresha jiji la Dar es Salaam Tanzania + Sauti

    Mradi maalumu wa kuboresha jiji la Dar es Salaam Tanzania + Sauti

    Apr 09, 2018 03:20

    Serikali ya Tanzania imeanzisha mradi maalumu wa kuboresha mji wa Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu hali mbaya ya mji huo. Mwandishi wetu Omar Manji na maelezo yafuatayo...

  • Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    Mar 31, 2018 01:31

    Hii hapa ni ripoti ya mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya Kiislamu yaliyojiri katika kipindi cha juma moja iliyotayarishwa na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.

  • Rais Yoweri Museveni alalamikia itikadi mbovu za kikabila barani Afrika + Sauti

    Rais Yoweri Museveni alalamikia itikadi mbovu za kikabila barani Afrika + Sauti

    Mar 28, 2018 13:57

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kuwa matatizo mengi yanayoliathiri bara la Afrika yanasababishwa na itikadi mbovu kama ubaguzi wa kikabila. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail ametuandalia taarifa ifuatayo.

  • Watanzania waitaka serikali kuondoa hofu ya kuwepo hoja ya uchochezi + Sauti

    Watanzania waitaka serikali kuondoa hofu ya kuwepo hoja ya uchochezi + Sauti

    Mar 26, 2018 05:16

    Watanzania wameitaka serikali ya nchi yao kuendelea na mikakati ya kuboresha zaidi uhuru wa kujielewa wananchi wake na kuweka mazingira ya kukosolewa na kupongezwa katika masuala muhimu kwa mustakbali wa taifa na kusonga mbele zaidi kimaendeleo.

  • Uganda, Rwanda zaitaka UN kutatua migogoro ya DRC na S/Kusini + Sauti

    Uganda, Rwanda zaitaka UN kutatua migogoro ya DRC na S/Kusini + Sauti

    Mar 26, 2018 05:07

    Marais wa Rwanda na Uganda wameuhimiza Umoja wa Mataifa kuchukua hatu za kukomesha migogoro ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini. Mwandishi wetu wa Kampala ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...

  • Mwito wa Unicef kwa Wizara ya Afya ya Ugada + Sauti

    Mwito wa Unicef kwa Wizara ya Afya ya Ugada + Sauti

    Mar 20, 2018 03:03

    Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeitaka Wizara ya Afya ya Uganda kuishinikiza Hazina ya Taifa ya nchi hiyo ii itoea fedha kunusuru akina mama nchini humo. Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu mwito huo...

  • Watu saba wapoteza maisha kwa kuporomoka mlima Burundi + Sauti

    Watu saba wapoteza maisha kwa kuporomoka mlima Burundi + Sauti

    Mar 17, 2018 03:21

    Watu saba wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia kuporomoka mlima kando na mto Gasenyi, karibu na kunakojengwa Ikulu ya Rais.

  • Bunge Uganda laakhirisha vikao, kisa... + Sauti

    Bunge Uganda laakhirisha vikao, kisa... + Sauti

    Mar 17, 2018 03:15

    Nauibu Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Bolanya ameakhirisha vikao vya bunge hilo baada ya wizara ya afya kushindwa kutoa maelezo ya kukinaisha kuhusu ugonjwa hatari uliolikumba eneo la kaskazini nchi hiyo. Kigozi Ismail na ripoti kamili...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS