Serikali ya CAR yakata njia zote za mawasiliano ya simu + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i43120-serikali_ya_car_yakata_njia_zote_za_mawasiliano_ya_simu_sauti
Mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui umeingia katika giza totoro kufuatia serikali kukata njia zote za mawasiliano kutokana na hali mbaya ya usalama. Mwandishi wetu Mosi Mwasi ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Apr 15, 2018 01:58 UTC