-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Mar 17, 2018 02:57Kama ilivyo ada, matukio ya Kiislamu ukanda wa Afrika Mashariki wiki hii pia ni mengi. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit amekusanya baadhi yake na kuandalia ripoti maalumu ...
-
Juhudi za kuimarisha sekta ya habari barani Afrika + Sauti
Mar 13, 2018 03:10Wadau wa sekta ya habari barani Afrika wamesema kwamba wakati umefikwa kwa vyombo vya habari vya bara hilo kushirikiana ili kuweza kujikwambua kutokana na habari potofu zinazoharibu mustakbali wa Afrika.
-
Nkurunziza mkuu wa milele wa CNDD-FDD Burundi + Sauti
Mar 12, 2018 06:10Kamati Kuu ya chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD imemtangaza Rais Pierre Nkurunziza kuwa kiongozi wa kudumu ndani ya chama hicho. Hata hivyo upinzani umesema, Burundi inaelekea kusikotabirika. Mwandishi wetu wa Bujumbura Hamida Issa ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
Mashinikizo ya katiba mpya Tanzania + Sauti
Mar 12, 2018 05:04Mashinikizo ya kutaka marekebisho ya kimsingi ya Katiba yameshamiri huku viongozi wa kisiasa, viongozi wa kidini, wabunge na asasi za kijamii nazo zikihimiza sana suala hilo. Mwandishi wa Radio Tehran, Omar Manji ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Mar 10, 2018 03:57Kama ilivyo kawaida, wiki hii pia eneo la Afrika Mashariki limekuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit ametukusanyia baadhi yake katika ripoti hii...
-
Rwanda yapokea wakimbizi zaidi wa Burundi + Sauti
Mar 09, 2018 02:50Rwanda imepokea kwa wakati mmoja wakimbizi wengine zaidi ya 3000 kutoka Burundi.
-
Rais Yoweri Museveni aahidi kuwapa nafasi zaidi wanawake nchini Uganda + Sauti
Mar 09, 2018 02:43Serikali ya Uganda imesema kuwa itaendeleza jitihada za kuhakikisha wanawake wanashirikishwa kikamilifu katika maendeleo ya nchi hiyo.
-
Wanaharakati waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha Zanzibar warejea makwao + Sauti
Mar 04, 2018 14:38Wanaharakati wanne wa Kiislamu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha tokea tarehe 9 ya mwezi uliopita wa Februaria huko visiwani Zanzibar leo wamerejea katika familia zao baada ya kuwekwa kizuizini na watu wasiojulikana. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit ametutumia ripoti maalumu kuhusu suala hilo…
-
Watanzania watakiwa kuwa watulivu katika kipindi hiki cha wimbi la lawama + Sauti
Mar 04, 2018 14:31Watanzania wametakiwa kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho serikali ya nchi hiyo inatupiwa lawama na wanaharakati wa haki za kiraia, vyama vya upinzani, wananchi na vyombo vya habari kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu na uminywaji wa haki na demokrasia.
-
Mbunge "tapeli" arejeshwa Uganda baada ya kukamatwa akifanya utapeli Botswana + Sauti
Mar 03, 2018 14:30Nchini Uganda, mbunge wa zamani wa eneo la Bubulo Magharibi, Tony Nsubuga Kipoi aliyekuwa mafichoni nje ya nchi, amerejeshwa Uganda baada ya kukamatwa nchini Botswana kwa tuhuma za utapeli